Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

Sijui hata kipii kitakachofanya nitoe uhai wangu, yaan kuporwa cm ndo ujiue? Sisi wengine tumepitia masaibu na changamoto had watu wanauliza wee ni binadamu wa kawaida au?

Maana tumevuka silka ya u binadamu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rip mdogo wetu, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kaka asibughudhiwe kwa kujiua mdogo wake kwa mkasa kama huo.
 
Kizazi cha 2000s kina balaa. Kumbe kujiua ni rahisi hivyo? Amechoka kula ugali kabisa!!

Au wanakuwa attacked na ibilisi?
nawe unaamini kuna ibilisi...🤣
 
Kuna mambo yanasikitisha sana!
 
Unapomlea mtoto unabidi kujua akifika katika Adolescent stage anakuwa anafanya mambo mengi bila kuwa logically

Hivyo lazima uwe makini katika kumlea kwa utulivu.

Hivyo hiyo hatua inahitaji ufahamu mzuri kuhusu mtoto
Na wa mbeya mtoto sijui darasa la 3 aliyejinyonga kisa hatak kwenda shule hata balehe hajafika je?
 
Kamuua au kampora simu??

Simu alitoa wapi??ya kazi gani form 1??anawasiliana na nani form 1??
Majibu ya maswali yako anayo marehemu.

Yeye alimpora cm, huenda njia iliyotumika sio sahihi.
 
Tukikupora bendera ya upinde unajiua wewe😂😂
 
Unapomlea mtoto unabidi kujua akifika katika Adolescent stage anakuwa anafanya mambo mengi bila kuwa logically

Hivyo lazima uwe makini katika kumlea kwa utulivu.

Hivyo hiyo hatua inahitaji ufahamu mzuri kuhusu mtoto
Basi 99% wangeshajinyonga ..naamini shida ni malezi mabaya at the end imefikia stage mbaya so tunatakiwa kukemea tabia hz za mtoto kumiliki simu mapema
 
Majibu ya maswali yako anayo marehemu.

Yeye alimpora cm, huenda njia iliyotumika sio sahihi.
Weeee,tumeporwa remote na mabro enzi tuko form one,muda wa mieleka,na mechi tv zinazimwa na hatujawahi kujitilisha uruma hata.

Saa hii ndio tunajua kwa jinsi gani walikuwa real.
Hivi vitoto vilivyozijua mboo mapema,tena za watoto wenzao ni tatizo.
 
Kamuua au kampora simu??

Simu alitoa wapi??ya kazi gani form 1??anawasiliana na nani form 1??


Malezi yanahitaji kuisoma saikolojia ya mtoto zaidi na wala sio katika balehe tu waweza usielewe hili jambo ikiwa hauna ufahamu wa kutosha katika parenting stage.

Mfano kakuambia hataki shule ,wewe mzazi unakimbilia viboko hapo lazima mwisho wake utazua tatizo jipya na kubwa.
 
Polen sana kwa Familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…