Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

Sekondari waruhusiwe kutumia simu, hakuna sababu za msingi kuwazuia.
 
Maamuzi ya mkwawa vijana wa sasa wapo na ujasiri sana!
 
Ukitoka kanisanii em ufanye jambo, nasubiri mwenzio.
Leo sitoki kanisani hadi kesho majaliwa maana mimi ndiye naaminiwa kuliko mtu yeyote. Pengine nitatoka kesho saa 12 jioni
 
Poleni sana wafiwa mtoto kumiliki simu, bado yuko skuli sheria za tz, haikubaliki iwe wakiume au wakike, ila kunakipidi nilitembelea zanzibar na kupata kuishi lkn nilivyokua nashangaa watoto wakule, kuanzia skuli za secondari wengi sana, wanamiliki simu hata skuli wanaenda nazo, nilishindwa kupeleleza kujua kwann inakua hivyo,..
 
BABA MUNGU TUNAOMBA ROHO WAKO MTAKATIFU ATUFUNDISHE KIROHO KUTUMIA SIMU ZA MKONONI KWA REHEMA ZAKO.

SIMU ZOTE ZIKAWE BARAKA NA SIYO LAANA.

AMINA 🙌
 
Simu tu jamani ndio ajinyonge sasa angekumbana na mabalaa mengine ya maisha angefanyaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…