Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sawa mkuu nmekuelewa.Sijaandika hivyo ili kuongeza uzito. Yani hayo mambo ya kuongeza uzito au kupunguza uzito ninayasikia kwako
Kwenye source niliyotoa habari imeandikwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, na mimi sikuona shida yoyote kwenye hilo. Nimeileta JF, kwa hiyo hadi sasahivi sijaelewa shida ni nini na haujaweka clear tatizo liko wapi
Kwangu mimi ni perfectly normal, wewe unayeona shida ndio unapaswa ueleze kwa nini unaona kuna shida tukisema ni mwanafunzi
Sishangai ndo mana msanii akipata madhara akiwa na wenzake, huyo msanii pekee ndie atakayekuwa anazungumziwa na kujaliwa na sio wale wenzake wa kawaida.