Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
- Thread starter
-
- #21
Za private hazipo? Hela ya kuonga anayo! Ela ya kumpeleka private ndo amekosa? Unajua kaziba fursa ngapi za wanaojitafuta?Angekua mtoto amefeli kabisa ana F au vitu zingine huko ningekubaliana na wewe,.
Kama mzazi ana nafasi kwanini asipeleke mwanae shule nzuri?
Duuh,. Haya buana mtag basi aje aone ajue amezinguaZa private hazipo? Hela ya kuonga anayo! Ela ya kumpeleka private ndo amekosa? Unajua kaziba fursa ngani za wanaojitafuta?
Kuna utaratibu ndio maana na C yake hakuweza kuchaguliwa hapoAngekua mtoto amefeli kabisa ana F au vitu zingine huko ningekubaliana na wewe,.
Kama mzazi ana nafasi kwanini asipeleke mwanae shule nzuri?
Kwa shule ya bweni nini? Ni sehemu ya kulala tu. Mengine yote yanayofundishwa ni yale yale. Ndo maana AZANIA haijawahi kuacha kutoa wataalamu mabingwa kila mwaka inatoa Div One zaidi 100 pamoja na kwamba ni shule ya kutwa.Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na watoto werevu?
Sasa wewe si umpeleke na wa kwako huko bweni Kitaifa? Punguza roho ya kutu. Tafuta hela ili uondokane na roho mbaya.Sio wivu mkuu! Kuna watu wana madhalau! Mtoto wake kazungusha kalai alafu anampeleka kwa waliopata misonge kwa kufanya kazi? Si ampeleke private?
Hizo bweni private wewe unaenda kumsaidia kulipia ada?Labda wewe ndo masikini! Rudi soma uzi ndo utaelewa! Shule za bweni za private zipo! Hizi ni shule za umma ambazo zina vigezo!
Huyu mtoto hana sifa hizo ulizozisema! Alafu hiyo shule ya bweni haijawahi kutoa Div 4 wala zero!Kwa shule ya bweni nini? Ni sehemu ya kulala tu. Mengine yote yanayofundishwa ni yale yale. Ndo maana AZANIA hajiwahi kutoa wataalamu mabingwa, kila mwaka inatoa Div One zaidi 100 pamoja na kwamba ni shule ya kutwa.
Lakini pia Shule ya Bweni Kitaifa hata mtoto mwenye C zote anaenda cha msinbi awe na sababu za msingi za kwenda boarding ikiwemo mazingira hatarishi ya kuishi kutwa, kukosekana kwa mlezi wa kuikaa naye, ulemavu kama wa ngozi n.k.
lakini pia hizi shule za bweni za kitaifa za kawaida ukiondoa zile maalum kama ilboru; hizi shule zinatoa zero na div IV za kufa mtu kidato cha nne.
... hutaki wa makarai naye aambukizwe huo werevu?Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na Watoto werevu?
Hizio shule hawalipi ada! Unaenda kwa sifa za ufaulu!Hizo bweni private wewe unaenda kumsaidia kulipia ada?
Naomba nifahamishe shule moja ya private bweni ambayo hamna ada na mimi nimpleleke mtoto wangu huko.Hizio shule hawalipi ada! Unaenda kwa sifa za ufaulu!
Kwa hiyo wewe unataka huyo mtoto aende shule inayotoa div IV na zero siyo?Huyu mtoto hana sifa hizo ulizozisema! Alafu hiyo shule ya bweni haijawahi kutoa Div 4 wala zero!
Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na watoto werevu?