Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

Angekua mtoto amefeli kabisa ana F au vitu zingine huko ningekubaliana na wewe,.
Kama mzazi ana nafasi kwanini asipeleke mwanae shule nzuri?
Za private hazipo? Hela ya kuonga anayo! Ela ya kumpeleka private ndo amekosa? Unajua kaziba fursa ngapi za wanaojitafuta?
 
Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na watoto werevu?
Kwa shule ya bweni nini? Ni sehemu ya kulala tu. Mengine yote yanayofundishwa ni yale yale. Ndo maana AZANIA haijawahi kuacha kutoa wataalamu mabingwa kila mwaka inatoa Div One zaidi 100 pamoja na kwamba ni shule ya kutwa.

Lakini pia Shule ya Bweni Kitaifa hata mtoto mwenye C zote anaenda cha msinbi awe na sababu za msingi za kwenda boarding ikiwemo mazingira hatarishi ya kuishi kutwa, kukosekana kwa mlezi wa kuikaa naye, ulemavu kama wa ngozi n.k.

lakini pia hizi shule za bweni za kitaifa za kawaida ukiondoa zile maalum kama ilboru; hizi shule zinatoa zero na div IV za kufa mtu kidato cha nne.
 
Sio wivu mkuu! Kuna watu wana madhalau! Mtoto wake kazungusha kalai alafu anampeleka kwa waliopata misonge kwa kufanya kazi? Si ampeleke private?
Sasa wewe si umpeleke na wa kwako huko bweni Kitaifa? Punguza roho ya kutu. Tafuta hela ili uondokane na roho mbaya.
 
Kwa shule ya bweni nini? Ni sehemu ya kulala tu. Mengine yote yanayofundishwa ni yale yale. Ndo maana AZANIA hajiwahi kutoa wataalamu mabingwa, kila mwaka inatoa Div One zaidi 100 pamoja na kwamba ni shule ya kutwa.

Lakini pia Shule ya Bweni Kitaifa hata mtoto mwenye C zote anaenda cha msinbi awe na sababu za msingi za kwenda boarding ikiwemo mazingira hatarishi ya kuishi kutwa, kukosekana kwa mlezi wa kuikaa naye, ulemavu kama wa ngozi n.k.

lakini pia hizi shule za bweni za kitaifa za kawaida ukiondoa zile maalum kama ilboru; hizi shule zinatoa zero na div IV za kufa mtu kidato cha nne.
Huyu mtoto hana sifa hizo ulizozisema! Alafu hiyo shule ya bweni haijawahi kutoa Div 4 wala zero!
 
Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na Watoto werevu?
... hutaki wa makarai naye aambukizwe huo werevu?
Usipoteze sana muda wako kuhoji uhalali wa Watoto kupasi au kufeli Bongo, FAULO NI NYINGI MNO NA ZINAONGEZEKA KADRI MTU ANAVYOKARIBIA DEGREE!
 
Roho mbaya kivipi? Unajua sifa za kusoma shule za bweni kitaifa? Alafu kindezindezi unavizia akiingia kidato cha pili na kalai lake "C" ndo umchanganye na watoto werevu?

sifa zipi? Sema sasa hivi hamna shule za private(waliofeli la 7) ndio walikua wanafaulu kuliko aliechaguliwa na serikali

Pili, shule ya msingi na sekondari ni vitu 2 tofauti

Ndio maana wapo waliosoma shule za bweni wakifika 4m4 wanafaulia Umbwe na Tosamaganga walisoma kata wanaenda Shule za kitaifa
 
Pesa ina nguvu mkuu.
Lakini sio kwamba wote wanaopata C hawako vizuri kichwani, anaweza kuwa zaidi ya hao waliopangiwa hapo Bweni kwa kupata A.
Kuna vitu vingi vinachangia kushindwa kupata ufaulu mzuri sana.

Dogo anatakiwa kukaza ili asiwe funga dimba.
 
Back
Top Bottom