Kwa shule ya bweni nini? Ni sehemu ya kulala tu. Mengine yote yanayofundishwa ni yale yale. Ndo maana AZANIA hajiwahi kutoa wataalamu mabingwa, kila mwaka inatoa Div One zaidi 100 pamoja na kwamba ni shule ya kutwa.
Lakini pia Shule ya Bweni Kitaifa hata mtoto mwenye C zote anaenda cha msinbi awe na sababu za msingi za kwenda boarding ikiwemo mazingira hatarishi ya kuishi kutwa, kukosekana kwa mlezi wa kuikaa naye, ulemavu kama wa ngozi n.k.
lakini pia hizi shule za bweni za kitaifa za kawaida ukiondoa zile maalum kama ilboru; hizi shule zinatoa zero na div IV za kufa mtu kidato cha nne.