Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda inakuwa hivyo ili liwe ni fundisho kwa wakristo wenzake wa KKKT wasithubutu kujichukulia maamuzi kama hayo.MKUUUU KKKT UTAZIKA WEWE N NDUGU ZAKOOO YAAN HATA AKIJINYONGA FANYEN SIRI PELEKEN KANISANI
AKISHTULIWA MCH HAZIKI KAMWE...SIJAJUA VIGEZO ZAIDI KUMATAA KUMZIKA MPAKA SASA
Vp mkuu?; kwani huyo alikuwa na mke?Kanyimwa kupekua simu ya mkewe
kwani alikuwa anasomea usheikHuu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka.
Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga.
Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka kikristo?
Raha ya milele uwapee ee bwana mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani.
AMEN.
Pia soma: Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa
Mbona hizo attachments #21 na #22 hazihusiani na hii mada?25 April kijana kajinyooongaa
Hapana. Alikuwa anasomea Upadre.kwani alikuwa anasomea usheik
Oh! Mtoto wa miaka sita? Huyo alikuwa ni mtoto mtundu anayejaribu-jaribu kila kitu. Labda aliona kwenye TV au movie/katuni.MTOOTOO WA MIAKA SITAAA NAE KAJINYONGA LEO MWEZI WA KUNYONGANAAA MSIKAE KARIBU NA KAMBA HILI PEPO HALINA MSAMARIA MWEMA
Hahahaaa. Unashauri tuweke kamba mbali na watoto siyo? i.e. Keep out of the reach of children.na mtoto wa leo bado askofu mwanafunzi wake anaefwataaa endeleaankukaaa na kamba karibu

Wasukumaa msiniulize maanake neno la mwishoo niliicream form 2 plsSINGKE NDIOO MDA WENUUU HUU KAGUEN SANA HIZI KABILAAAAA KABLA YA KUOA AMA KUOLEWAAAAA
MSIOGOPE KUWEKA BUNDLE KUPATA TAARIFA CHINGJZA PADRE KABILA LAKE YULE MWANAFUNZI HAO WAMAMA JUU KABILA ZAO WANAPOTOKAA KUJINYONGA N ROOHOO UKIINGIQ CHAKQ IKAKUKOSA UME.WACHIA MWANAO..KEMEEN SANA
I REbUKE IT N JESUS NAME
Kwani kusema ukweli ni kuhukumu?. Yeye atendaye dhambi au afaye katika dhambi ni jehanamu over.Nani kasema hiyo tena aisee? Imeandikwa; Usihukumu ili nawe usije ukahukumiwa. (Math.7: 1-2)
1. Kwani unauhakika kwamba alichosema ndo ukweli? Taja source.Kwani kusema ukweli ni kuhukumu?. Yeye atendaye dhambi au afaye katika dhambi ni jehanamu over.
Ndio. Inasomeka hv: "Usiue". Ni amri ya 5Nauliza hivi kwenye zile sheria kumi za Mungu kuna inayokataza kujitoa uhai?