Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

Nauliza hivi kwenye zile sheria kumi za Mungu kuna inayokataza kujitoa uhai?
Siyo tu inakataza kutoa uhai bali pia inakataza usijitoe uhai.

Sheria inasema usiue yaani usijiue***na wala ***usimuue mwenzako ama wenzako
 
1. Kwani unauhakika kwamba alichosema ndo ukweli? Taja source.
2. Mkuu, mbona umesahau kwamba lipo neno la Toba? Hakuna dhambi isiyosamehewa (Luke 12: 10)
Simamia taarifa uliyopo...kajinyonga

Hakuna msamaha wa dhambi baada ya kufa. Dhambi zote zinasamehewa ukitubu kwa kumaanisha ukiwa hai. Ni kama mtu afe akiwa anazini, au afe akiwa anaiba.
 
Simamia taarifa uliyopo...kajinyonga

Hakuna msamaha wa dhambi baada ya kufa. Dhambi zote zinasamehewa ukitubu kwa kumaanisha ukiwa hai. Ni kama mtu afe akiwa anazini, au afe akiwa anaiba.
Mkuu,
1. Alikutwa ameshakufa na hakuna ushahidi kwamba alijinyonga yy mwenyewe. Inawezekana kanyongwa na mtu X halafu akatundikwa hapo kupoteza ushahidi(who knows)
2. Hakuna aliyekuwepo wakati anakata roho na kushuhudia/kusikia alitamka maneno gani. Inawezekana alitubu dk. za mwisho kama yule jambazi (Dismas)pale msalabani( Luka 23:42-43). Na alisamehewa chap.
3. Mbona nimeshasema Hakuna dhambi isiyosamehewa? Dhambi zipo za namna nyingi -kujinyonga, kujilipua, kujitosa baharini, kuzini, kusema uongo, n.k. n.k. Hiyo ya kujinyonga ina nini cha pekee isisamehewe? Kujinyonga, kunywa sumu, kufanya abortion, .......zote ni Uuaji na ni dhambi kama dhambi zingine zinasamehewa. Ni dhambi moja tu ndo haisamehewi nayo ni dhambi ya Kumkufuru Roho Mtakatifu baas.
 
Back
Top Bottom