Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

APRIL
CHIBWETE NAE KAJINYONGA
 

Attachments

  • Screenshot_20240522-154206_Lite.jpg
    387.8 KB · Views: 6
25 April kijana kajinyooongaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240522-154252_Lite.jpg
    451.5 KB · Views: 5
29 April yussuph miaka 13 ajinyonga
 

Attachments

  • Screenshot_20240522-154408_Lite.jpg
    451.6 KB · Views: 5
MKUUUU KKKT UTAZIKA WEWE N NDUGU ZAKOOO YAAN HATA AKIJINYONGA FANYEN SIRI PELEKEN KANISANI

AKISHTULIWA MCH HAZIKI KAMWE...SIJAJUA VIGEZO ZAIDI KUMATAA KUMZIKA MPAKA SASA
Labda inakuwa hivyo ili liwe ni fundisho kwa wakristo wenzake wa KKKT wasithubutu kujichukulia maamuzi kama hayo.
 
kwani alikuwa anasomea usheik
 
na mtoto wa leo bado askofu mwanafunzi wake anaefwataaa endeleaankukaaa na kamba karibu
 
MTOOTOO WA MIAKA SITAAA NAE KAJINYONGA LEO MWEZI WA KUNYONGANAAA MSIKAE KARIBU NA KAMBA HILI PEPO HALINA MSAMARIA MWEMA
Oh! Mtoto wa miaka sita? Huyo alikuwa ni mtoto mtundu anayejaribu-jaribu kila kitu. Labda aliona kwenye TV au movie/katuni.
 
na mtoto wa leo bado askofu mwanafunzi wake anaefwataaa endeleaankukaaa na kamba karibu
Hahahaaa. Unashauri tuweke kamba mbali na watoto siyo? i.e. Keep out of the reach of children.
 
HAYAA MAMBO REDION TUOISHAZOE KUSIKIA IRINGA NJOMBE MAKAMBAKUI SASAA

KUNA WAMERU WACHAGA AISEEE HII SOOON TUTAANDIKISHA KABILA ZA WANAOJINYONGA
 
SINGKE NDIOO MDA WENUUU HUU KAGUEN SANA HIZI KABILAAAAA KABLA YA KUOA AMA KUOLEWAAAAA

MSIOGOPE KUWEKA BUNDLE KUPATA TAARIFA CHINGJZA PADRE KABILA LAKE YULE MWANAFUNZI HAO WAMAMA JUU KABILA ZAO WANAPOTOKAA KUJINYONGA N ROOHOO UKIINGIQ CHAKQ IKAKUKOSA UME.WACHIA MWANAO..KEMEEN SANA

I REbUKE IT N JESUS NAME
 
Wasukumaa msiniulize maanake neno la mwishoo niliicream form 2 pls
 
Kwani kusema ukweli ni kuhukumu?. Yeye atendaye dhambi au afaye katika dhambi ni jehanamu over.
1. Kwani unauhakika kwamba alichosema ndo ukweli? Taja source.
2. Mkuu, mbona umesahau kwamba lipo neno la Toba? Hakuna dhambi isiyosamehewa (Luke 12: 10)
 
Nauliza hivi kwenye zile sheria kumi za Mungu kuna inayokataza kujitoa uhai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…