Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Mkuu hapo umetudanganya mchana kweupe,jibu ni tisa..unaanza kufungua mabano kwa kupata jb 3 ndyo unakuja nje na kupata 3 pia then unazidisha kisha wapata jb 9 this is answer mkuuJibu ni 1, anza kwenye mabano 2+1=3, then itakua ni 6÷2(3) [huwezi kugawanya 6÷2 kwanza wakati kuna mabano] fungua mabano kwa 2×3=6 baadae Maliza na kugawanya 6÷6=1.
Jibu zurimkuu lakini kwem maji oxygen haipo kama free molecule kule si ipo ndani ya water as compound,ukitaka oxygen peke yake labda ubreak hio compound ndo utapata oxyegn...ukitumia electrolysis
jibu ni moja mkuu..ukijumlisha ndan ya mabano bado inabidi uzidishe na mbili ya nje ndo mabano yanafunguka then unaendeleaMkuu hapo umetudanganya mchana kweupe,jibu ni tisa..unaanza kufungua mabano kwa kupata jb 3 ndyo unakuja nje na kupata 3 pia then unazidisha kisha wapata jb 9 this is answer mkuu
Mkuu Ukijumlisha ndani ya mabano ndo tayari umeshafungua mabano halafu inabaki kuzidisha na kugawanya sasa hapo lazima uanze na kugawanya ambayo iko hvjibu ni moja mkuu..ukijumlisha ndan ya mabano bado inabidi uzidishe na mbili ya nje ndo mabano yanafunguka then unaendelea
1/4 ya ngombe x wamekufa...1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa
Sio tu 1/5 ya ng'ombe wa mzee ni wagonjwa, bali 1/5 ya waliobaki ndo wagonjwa.
Hii ni baada ya kuondoa wale waliokufa.
Mkuu mahesabu mengine point siyo lazima, ila uko wrong rudia tena1/4 ya ngombe x wamekufa...
(1/5)/(3/4)x ni wagonjwa
180 ni wazima
total namba ni x...
Soln:
1/4x + (1/5*4/3)x +180=x
1/4x + 4/15x +180=x
19/60x + 180= x
180=41/60x
X=(60*180)/41
X =263.4
Jumla ni 263.4 pamoja na waliokufa,
Wap exactl nimekuwa wrong, ungenieleza ingependeza zaid nduguMkuu mahesabu mengine point siyo lazima, ila uko wrong rudia tena
iCode said: ↑Wap exactl nimekuwa wrong, ungenieleza ingependeza zaid ndugu
Oooh! Kumaanisha badala ya 3/4 nikaweka 4/3iCode said: ↑
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
Kutokana na swali hapo juu
let's say jumla ya Ng'ombe ni X
1/4X= Dead, waliobaki ni X-1/4X
1/5(X-1/4X)= wagonjwa
180= wazima
sasa
Dead+wagonjwa+wazima = ni jumla ya ng'ombe wote aliokuwa nao
1/4X+1/5(X-1/4X)+180= X
1/4X+1/5X-1/20X+180=X
ondoa sehemu kwa kuzidisha na 20
20(1/4X)+20(1/5X)-20(1/20X)+20(180)=20(X)
5x+4X-X+3600=20X
8x+3600=20X
8X-8X+3600=20X-8X
3600=12x
3600/12=12x/12
X=300 ni jumla ya Ng'ombe kabla wengine hawajafa
dead ni robo=300 * 1/4=75
swali linasema "Anag'ombe wangapi sasa hv?
300-75=225 Ng'ombe
wewe ulianza kukosea hapa chini
19/60x + 180= x
ilikuwa ije 31X/60 badala ya 19X/60
Sawa mkuu..ila ulitakiwa utumie bodmasjibu ni moja mkuu..ukijumlisha ndan ya mabano bado inabidi uzidishe na mbili ya nje ndo mabano yanafunguka then unaendelea
Usimdanganye asije kufeli mtihani na anaweza kuwadanganya na wengine! Bracket moja huwezi kufanyia kazi mara mbili eg, (1+2)= 3 na siyo(3)Sawa mkuu..ila ulitakiwa utumie bodmas
Mkuu wew hesabu unesomea shule gani? Unaonekana Mbishi aseeUsimdanganye asije kufeli mtihani na anaweza kuwadanganya na wengine! Bracket moja huwezi kufanyia kazi mara mbili eg, (1+2)= 3 na siyo(3)
Mkuu hiyo hesabu sijui unaifanyaje!Mkuu wew hesabu unesomea shule gani? Unaonekana Mbishi asee
6÷2(1+2)
=open bracket how?
1+2 = 3
Is the bracket opened?
If I were to rewrite, i would write
6÷2(3)
Sasa bro umefunguaje mabano hapo without involving 2? Think twice mathematics isn't easy...
6÷6
Woow now our bracket is opened ?
How? By the application of integer 2...
Kwa iyo wew uandika
6 ÷ 2 × 3!!!!???
Hahahaha what the hell × is doing over there!!!???
So
The ansewer is and it should be 1, no any argument...
Have you seen, young brother?
We don't open brackets in mathematics magically as you have just done! Hope that one is clear to you!
You might be right lakini bado kuna utata wa hilo swali,Mkuu hiyo hesabu sijui unaifanyaje!
Unaelewa kuwa 2(1+2)= 2 x (1+2)?
Ambayo ni sawa pia 2 x 3 baada ya kushughulika ndani ya bracket?
Mkuu 6/2(3) si sawasawa na 6/2(1/3) ila ni sawasawa na 6/2*(3)=3*3=9You might be right lakini bado kuna utata wa hilo swali,
Lakini pia mkuu unaelewa kuwa
6÷2(3) ni sawa na 6/2(3) ambayo ni sawasawa na (6/2)*(1/3) = 1?
I think hili swali linahitaji clarification, which rules should we use, coz BODMAS, that BO is actually confusing
But I can say it is ambiguous...
Isn't this the algebra I know? Maana