Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Jibu ni 1, anza kwenye mabano 2+1=3, then itakua ni 6÷2(3) [huwezi kugawanya 6÷2 kwanza wakati kuna mabano] fungua mabano kwa 2×3=6 baadae Maliza na kugawanya 6÷6=1.
Mkuu hapo umetudanganya mchana kweupe,jibu ni tisa..unaanza kufungua mabano kwa kupata jb 3 ndyo unakuja nje na kupata 3 pia then unazidisha kisha wapata jb 9 this is answer mkuu
 
mkuu lakini kwem maji oxygen haipo kama free molecule kule si ipo ndani ya water as compound,ukitaka oxygen peke yake labda ubreak hio compound ndo utapata oxyegn...ukitumia electrolysis
Jibu zuri
 
Mkuu hapo umetudanganya mchana kweupe,jibu ni tisa..unaanza kufungua mabano kwa kupata jb 3 ndyo unakuja nje na kupata 3 pia then unazidisha kisha wapata jb 9 this is answer mkuu
jibu ni moja mkuu..ukijumlisha ndan ya mabano bado inabidi uzidishe na mbili ya nje ndo mabano yanafunguka then unaendelea
 
jibu ni moja mkuu..ukijumlisha ndan ya mabano bado inabidi uzidishe na mbili ya nje ndo mabano yanafunguka then unaendelea
Mkuu Ukijumlisha ndani ya mabano ndo tayari umeshafungua mabano halafu inabaki kuzidisha na kugawanya sasa hapo lazima uanze na kugawanya ambayo iko hv
6/2(1+2)= 6/2*3=3*3=9
 
1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa

Sio tu 1/5 ya ng'ombe wa mzee ni wagonjwa, bali 1/5 ya waliobaki ndo wagonjwa.
Hii ni baada ya kuondoa wale waliokufa.
1/4 ya ngombe x wamekufa...
(1/5)/(3/4)x ni wagonjwa
180 ni wazima
total namba ni x...
Soln:
1/4x + (1/5*4/3)x +180=x
1/4x + 4/15x +180=x
19/60x + 180= x
180=41/60x
X=(60*180)/41
X =263.4
Jumla ni 263. pamoja na waliokufa,
 
1/4 ya ngombe x wamekufa...
(1/5)/(3/4)x ni wagonjwa
180 ni wazima
total namba ni x...
Soln:
1/4x + (1/5*4/3)x +180=x
1/4x + 4/15x +180=x
19/60x + 180= x
180=41/60x
X=(60*180)/41
X =263.4
Jumla ni 263.4 pamoja na waliokufa,
Mkuu mahesabu mengine point siyo lazima, ila uko wrong rudia tena
 
Wap exactl nimekuwa wrong, ungenieleza ingependeza zaid ndugu
iCode said:
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???

Kutokana na swali hapo juu

let's say jumla ya Ng'ombe ni X
1/4X= Dead, waliobaki ni X-1/4X
1/5(X-1/4X)= wagonjwa
180= wazima
sasa
Dead+wagonjwa+wazima = ni jumla ya ng'ombe wote aliokuwa nao
1/4X+1/5(X-1/4X)+180= X
1/4X+1/5X-1/20X+180=X
ondoa sehemu kwa kuzidisha na 20
20(1/4X)+20(1/5X)-20(1/20X)+20(180)=20(X)
5x+4X-X+3600=20X
8x+3600=20X
8X-8X+3600=20X-8X
3600=12x
3600/12=12x/12
X=300 ni jumla ya Ng'ombe kabla wengine hawajafa

dead ni robo=300 * 1/4=75

swali linasema "Anag'ombe wangapi sasa hv?

300-75=225 Ng'ombe

wewe ulianza kukosea hapa chini
19/60x + 180= x
ilikuwa ije 31X/60 badala ya 19X/60

Oooh! Kumaanisha badala ya 3/4 nikaweka 4/3
 
Usimdanganye asije kufeli mtihani na anaweza kuwadanganya na wengine! Bracket moja huwezi kufanyia kazi mara mbili eg, (1+2)= 3 na siyo(3)
Mkuu wew hesabu unesomea shule gani? Unaonekana Mbishi asee

6÷2(1+2)
=open bracket how?
1+2 = 3
Is the bracket opened?

If I were to rewrite, i would write
6÷2(3)

Sasa bro umefunguaje mabano hapo without involving 2? Think twice mathematics isn't easy...

6÷6

Woow now our bracket is opened ?
How? By the application of integer 2...

Kwa iyo wew uandika
6 ÷ 2 × 3!!!!???

Hahahaha what the hell × is doing over there!!!???

So

The ansewer is and it should be 1, no any argument...

Have you seen, young brother?

We don't open brackets in mathematics magically as you have just done! Hope that one is clear to you!
 
Mkuu hiyo hesabu sijui unaifanyaje!
Unaelewa kuwa 2(1+2)= 2 x (1+2)?
Ambayo ni sawa pia 2 x 3 baada ya kushughulika ndani ya bracket?
 
Swali: kwanini majangwa mengi yapo upande wa magharibi mwa continents?
 
Mkuu hiyo hesabu sijui unaifanyaje!
Unaelewa kuwa 2(1+2)= 2 x (1+2)?
Ambayo ni sawa pia 2 x 3 baada ya kushughulika ndani ya bracket?
You might be right lakini bado kuna utata wa hilo swali,
Lakini pia mkuu unaelewa kuwa
6÷2(3) ni sawa na 6/2(3) ambayo ni sawasawa na (6/2)*(1/3) = 1?

I think hili swali linahitaji clarification, which rules should we use, coz BODMAS, that BO is actually confusing

But I can say it is ambiguous...

Isn't this the algebra I know? Maana
 
Mkuu 6/2(3) si sawasawa na 6/2(1/3) ila ni sawasawa na 6/2*(3)=3*3=9

ingekuwa 6+2(1+2) bracket mngefungua mnavyofanya lakini kunakugawanya ambayo lazima itangulie kabla ya kuzidisha
 
Back
Top Bottom