bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
Oooh yes agreed! You are right... Coz (3) is an integer not fraction...Mkuu 6/2(3) si sawasawa na 6/2(1/3) ila ni sawasawa na 6/2*(3)=3*3=9
ingekuwa 6+2(1+2) bracket mngefungua mnavyofanya lakini kunakugawanya ambayo lazima itangulie kabla ya kuzidisha
history njoo kwangu
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
umejibu vizuri lakini kuna wanafunzi wengine bado hawajahamisha mawazo kutoka kwenye operators za zamani kuja operators mpya....lita ni volume huwezi kuibadilisha moja kwa moja kua kilo mpaka uwe na density ya iyo liquid na utatumia
mass =density *volume
lakini liter utaichenge into m^3
Humans are unable to digest cellulose because the appropriate enzymes to breakdown the beta acetal linkages are lacking. Undigestible cellulose is the fiber which aids in the smooth working of the intestinal tract.Hallo forum members...2gether we can do more. if you have answer of this question cooperate with me please!!. Why human being do not digest cellulose??
U can add this also..Hallo forum members...2gether we can do more. if you have answer of this question cooperate with me please!!. Why human being do not digest cellulose??
Hakuna tofaut hapo ni kiswahili chake...labda ungeuliza asthma na tbWanajf naomba mnijuze tofauti iliyopo kati ya tb na kifua kikuu
The reasons areSwali: kwanini majangwa mengi yapo upande wa magharibi mwa continents?
Ni kwa nini ukiweka maji ya baridi kwenye glass au kikombe cha bati baada ya muda unakuta glass/kikombe kina maji kwa nje na wakati hakuna matundu?Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
wazee hapo niko pamoja nanyi hongera kwa kazi nzuriiCode said: ↑
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
Kutokana na swali hapo juu
let's say jumla ya Ng'ombe ni X
1/4X= Dead, waliobaki ni X-1/4X
1/5(X-1/4X)= wagonjwa
180= wazima
sasa
Dead+wagonjwa+wazima = ni jumla ya ng'ombe wote aliokuwa nao
1/4X+1/5(X-1/4X)+180= X
1/4X+1/5X-1/20X+180=X
ondoa sehemu kwa kuzidisha na 20
20(1/4X)+20(1/5X)-20(1/20X)+20(180)=20(X)
5x+4X-X+3600=20X
8x+3600=20X
8X-8X+3600=20X-8X
3600=12x
3600/12=12x/12
X=300 ni jumla ya Ng'ombe kabla wengine hawajafa
dead ni robo=300 * 1/4=75
swali linasema "Anag'ombe wangapi sasa hv?
300-75=225 Ng'ombe
wewe ulianza kukosea hapa chini
19/60x + 180= x
ilikuwa ije 31X/60 badala ya 19X/60
Maria montesorry. Swali:: MENTION THE TEACHING OR INSTRUCTIONAL THEORIES THAT INSISTS ON THE USE OF CONCRETE OR REAL OBJECTS TO ENHANCE LEARNING/ FOR EFFECTIVE TEACHING AND LEARNING PROCESS.