Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mkuu 6/2(3) si sawasawa na 6/2(1/3) ila ni sawasawa na 6/2*(3)=3*3=9

ingekuwa 6+2(1+2) bracket mngefungua mnavyofanya lakini kunakugawanya ambayo lazima itangulie kabla ya kuzidisha
Oooh yes agreed! You are right... Coz (3) is an integer not fraction...

I think the rule should be BOR(DM)(AS)

They say, whichever comes first from left to right is to be prioritized.

Nafikiri upo sawa, its one of the confusing algebras I have ever seen before
 
Wanajf naomba mnijuze tofauti iliyopo kati ya tb na kifua kikuu
 
naitwa Rajabu jamani naomba mtu yoyote anaefahamu mfumo Wa nacte nimetuma maombi yangu nikarudishiwa SMS kwamba nimefanikiwa kujisajili nikaletewa username na password lakn ninapo log in inakataa je wanafungua hadi matokeo au? naomba msaada jaman
 
Wakuu nahitaji msaada katika issue ya geography inahusu simple survey
and map making
hasa katika 'techniques used in map
making' ni zipi hzo?
 
Katika kufanya practical ya FOOD TEST nimesoma maelezo yanasema REDUCING and NON REDUCING SUGAR ,reducing sugar inatakiwa ianze kuwa tested then non reducing,ila hawajaeleza sababu za kufanya vile..naomba msaada kwanin iwe vile?
 
history njoo kwangu

1. With vivid examples, mention the roles of art in the development of African Nationalism.
2. With vivid examples, mention the roles of racism in the development of colonial economy in South Africa.
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.

. Swali:: MENTION THE TEACHING OR INSTRUCTIONAL THEORIES THAT INSISTS ON THE USE OF CONCRETE OR REAL OBJECTS TO ENHANCE LEARNING/ FOR EFFECTIVE TEACHING AND LEARNING PROCESS.
 
Steve mzuri. i have question my forum members.. biology. Why human being do note digest cellulose??
 
Hallo forum members...2gether we can do more. if you have answer of this question cooperate with me please!!. Why human being do not digest cellulose??
 
lita ni volume huwezi kuibadilisha moja kwa moja kua kilo mpaka uwe na density ya iyo liquid na utatumia

mass =density *volume
lakini liter utaichenge into m^3
umejibu vizuri lakini kuna wanafunzi wengine bado hawajahamisha mawazo kutoka kwenye operators za zamani kuja operators mpya....
ona mfano

Arithmetic operator Meaning Example
+ (plus sign) Addition 3+3
– (minus sign) Subtraction
Negation 3–1
–1
* (asterisk) Multiplication 3*3
/ (forward slash) Division 3/3
% (percent sign) Percent 20%
^ (caret) Exponentiation 3^2
 
Hallo forum members...2gether we can do more. if you have answer of this question cooperate with me please!!. Why human being do not digest cellulose??
Humans are unable to digest cellulose because the appropriate enzymes to breakdown the beta acetal linkages are lacking. Undigestible cellulose is the fiber which aids in the smooth working of the intestinal tract.
 
Hallo forum members...2gether we can do more. if you have answer of this question cooperate with me please!!. Why human being do not digest cellulose??
U can add this also..

Humans, unlike cows for instance don't have the necessary bacteria in their intestines that make the enzymes(cellulases) necessary to breakdown the 1-4 beta glucose bonds. So we cannot break down cellulose into its constituent glucose molecules as we do with starch.

Therefore this is secreted as unbroken down chains of glucose called fiber.
 
Swali: kwanini majangwa mengi yapo upande wa magharibi mwa continents?
The reasons are

1. The area is present in the high pressure belt region (winds move from high pressure to low pressure) so there is descending air there which makes it unsuitable for rainfall.

2. The region is under the influence of Eastern trade winds. So the the trade winds (onshore winds) first hit the east coast making them rich in forests and as the move into the continent lose much of the moisture content. As they leave the continent they become offshore winds(land to sea) and hence dont hold much moisture.

3. As these winds leave the continent, there is upwelling of water on the west coast, resulting in nutrient rich cold water rising up to the surface. Coupled with this is the presence of cold currents in the western coast like Bengula current in Africa and Peru current in South america which makes the water harder to evaporate.

4. In some areas the presence of mountain ranges further block the winds placing the deserts on the leeward side of the mountains.E xample the Andes in South America and The Rocky ranges in North america are both in the western part of the continent.
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Ni kwa nini ukiweka maji ya baridi kwenye glass au kikombe cha bati baada ya muda unakuta glass/kikombe kina maji kwa nje na wakati hakuna matundu?
 
iCode said:
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???

Kutokana na swali hapo juu

let's say jumla ya Ng'ombe ni X
1/4X= Dead, waliobaki ni X-1/4X
1/5(X-1/4X)= wagonjwa
180= wazima
sasa
Dead+wagonjwa+wazima = ni jumla ya ng'ombe wote aliokuwa nao
1/4X+1/5(X-1/4X)+180= X
1/4X+1/5X-1/20X+180=X
ondoa sehemu kwa kuzidisha na 20
20(1/4X)+20(1/5X)-20(1/20X)+20(180)=20(X)
5x+4X-X+3600=20X
8x+3600=20X
8X-8X+3600=20X-8X
3600=12x
3600/12=12x/12
X=300 ni jumla ya Ng'ombe kabla wengine hawajafa

dead ni robo=300 * 1/4=75

swali linasema "Anag'ombe wangapi sasa hv?

300-75=225 Ng'ombe

wewe ulianza kukosea hapa chini
19/60x + 180= x
ilikuwa ije 31X/60 badala ya 19X/60

wazee hapo niko pamoja nanyi hongera kwa kazi nzuri
 
. Swali:: MENTION THE TEACHING OR INSTRUCTIONAL THEORIES THAT INSISTS ON THE USE OF CONCRETE OR REAL OBJECTS TO ENHANCE LEARNING/ FOR EFFECTIVE TEACHING AND LEARNING PROCESS.
Maria montesorry
Is the theory which insist the use of real object.

This theory insists the use of local materia instead of toy
Eg. To use local materia to make a modal of car for a children instead of buying a toy of car.

This wil help to increase creativity of a child
 
Back
Top Bottom