Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.

Nisaidieni kutafakari ni zawadi gani inamfaa huyu mwl kwa huu ubunifu wake ulio Bora ? pili hii thread inakimbia saana pengine kila subject ijitenge ili iwe rahisi kufuatilia somo husika
 
naombeni mnisaidie virtual education and informatics inahusiana na nini hasa??

Nafikiri unazungumzia college of virtual education and informatics ya udom.
Hii inahusika na elimu inayohusu technologia hasa ya computer. Mfano computer science, ICT, telecommunication etc.
 
Naomba kuuliza relation iliyopo kat ya kuzaliwa premature na kuwa intellectual .coz isack newton,Albert eastern,Darwin wote n premature
 
Naomba kuuliza relation iliyopo kat ya kuzaliwa premature na kuwa intellectual .coz isack newton,Albert eastern,Darwin wote n premature

umekosea.. hao sio premature ila walikaa tumboni muda mrefu kidogo zaidi ya miezi tisa, uhusiano ni kua... the more Mtoto anavokaa tumboni muda mrefu the more anakua na good brain development.. hata ukiangalia watoto wengi ambao wamenyonyweshwa muda mrefu na mama zao.. wengi ni sharp na intelligent.. tofauti na wale ambao hawakunyonyweshwa vizuri au premature... ndo mana wanaitwa pre mature, huezi zaliwa kabla hujawa matured alafu ukawa vizuri..
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.

Kwenye History am ready to volunteer
 
biology" why human being is said to be intelligent than other mammals
because cerebrum in human being is more developed than in other mammals and this is the centre for intelligent activities such as decision making, reasoning, memory etc
 
1.Discus how sex can affect language use.
2. Explain the role of brain in speech production.

I have no idea with question 1 but i will try for question 2

In the brain there is the large part called cerebrum which is covered by the layer called cerebral cortex. This is the area which is mapped by anatomist called Korbian Broadmann in 1909 hoping that these areas would be related to specific functions including speech production.

Therefore Broadman divided cerebral cortex into these areas such as frontal lobe with areas such as area 4 , area 6, Broca's motor speech area 44 and 45 which is connected to Wernicke's area (area 22) by arcuate fasciculus.

Now these two areas Broca's speech area 44 and 45 and Wernicke's area number 22 are the pivotal areas for speech production though there is other centres such as angular gyrus which is involved in ability to read and write..

Motor speech area of Broaca area 44and 45 activates the adjacent primary motor area which in turn stimulates the muscles of larynx, mouth, tongue, soft palate and respiratory muscles as we know speech production involve these muscles. Ablation of this area will result in the paralysis of speech (expressive aphasia). also inefficient contraction of these muscles may lead to stuttering.

Wernickes area 22 permits the understanding of written and spoken language and enables a person to read a sentence, understand it and say it loudly. Destruction of this area may cause loss in the ability to understand the spoken and written word (receptive aphasia)

Destruction of both Broaca's and Wernicke's areas results to loss of speech production and understanding of written and spoken words.

Lesion in the angular gyrus results in the anability of patient to read( alexia) nd write (agraphia).
 
How many types of morphemes? Mention them

japo swali hujaliuliza vizuri!

types of morpheme are:

1. Free morpheme

2.Bound morpheme(which includes all affixes)
and bound is divided into two types:

a). derivations

b). inflections
 
fasihi ni hisi? jadili kwa kutumia hoja nane(8)
naombeni wadau mnisaidie majibu ya swali hilo
 
Back
Top Bottom