Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Pata elimu kiganjani mwako BURE kwa kujiunga na huduma ya MAKINI SMS na ujisomee masomo ya O-level kwa njia ya simu. Baada ya serikali kubaini kwamba wanafunzi wengi hufeli mitihani yao kwa kukosa vifaa vya kujifunzia, wadau wa elimu SHULEDIRECT wakaja na wazo la kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya simu. Wanafunzi ambao tayari wamejiunga na MAKINI SMS wamefanikiwa kuboresha viwango vyao vya ufaulu katika masomo yaliyokuwa yakiwasumbua hapo awali. Hata wewe huchachelewa bado. Jiunge na uanze kusoma sasa.

*

BAADHI YA MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

*

1. MAKINI SMS ni nini?

MAKINI SMS ni huduma ya elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa kitanzania kupitia simu za mkononi.

*

2. Huduma ya MAKINI SMS hutolewa na mitandao ipi ya simu?

Kwa kuanzia, MAKINI SMS inapatikana kupitia mtando wa tiGO pekee. Baadaye itasambaa hadi mitandao mingine ya simu.

*

3. Kama mwanafunzi hana laini ya tiGO atajifunzaje?

Kama mwanafunzi hana laini ya tiGO anaweza kununua na kuitumia kwa ajili ya kusomea huku akiendelea kutumia laini ya mtandao mwingine anayoimiliki. Hata hivyo, siku hizi mchina ameturahisishia mambo kwa kutengeneza simu zinazoweza kuingia laini nyingi.

*

4. Mwanafunzi hujiungaje?

Mwanafunzi au mtu yeyote anayependa kujiunga na huduma hii atatuma neno MAKINI kwenda namba 15397 na kisha atatumiwa meseji atakazokuwa akizijibu (REPLY) kwa ajili ya kujisajili. Usajili unahusu jina la mwanafunzi, jinsia, shule anayosoma na kidato anachosoma. Kwa wale wanafunzi wa QT na wengine wasiokuwa katika mfumo rasmi wa shule pia wanaweza kujiunga kwa kufuata maelekezo yanayotumwa hatua kwa hatua.

*

5. Baada ya kujisajili inakuwaje?

Baada ya kujisajili utakuwa unatuma neno MAKINI kwenda namba 15397 kila unapohitaji ku-rivise topic yoyote. Baada ya kutuma hiyo SMS utakuwa unaletewa mpangilio (MENU) utakaokuwezesha kuchagua somo (Pick Subject) kwa ajili yaku-rivise na kujibu maswali, kumuuliza mwalimu (Ticha Kidevu) swali katika somo lolote (Ask Ticha Kidevu ), kutafuta maarifa au jambo lolote kwa kutumia Wikipedia, kupata matokeo ya maswali uliyojibu (Get Reports), na kuhama kidato (Change Class).

*

6. Prelude to inauguration

Kusikiliza maandalizi ya uzinduzi wa huduma ya makini SMS ambayo hatimaye ilizinduliwa manamo mnamo tarehe 18.03.2016 GONGA HAPA umsikilize Mkurugenzi Mtendaji (MD) wa SHULEDIRECT akiunguruma.

*

Kwa ufupi, hivi ndivyo huduma ya kujisomea ya MAKINI SMS inavyofanya kazi. Kwa swali lolote unalotaka kufahamu kuhusu MAKINI SMS, unakaribishwa kuuliza kwa moyo mkunjufu.

*

#HAPA KUSOMA TU!
 
Ni kwa nini ukiweka maji ya baridi kwenye glass au kikombe cha bati baada ya muda unakuta glass/kikombe kina maji kwa nje na wakati hakuna matundu?
unyevu uliopo kwenye hewa hugandishwa na ubaridi wa kikombe na kutengeneza maji ambayo huganda juu ya kikombe kama matone madogo ya maji.
 
unyevu uliopo kwenye hewa hugandishwa na ubaridi wa kikombe na kutengeneza maji ambayo huganda juu ya kikombe kama matone madogo ya maji.
Sasa naomba ujibu kisayansi tena kwa kiingereza kama mwanafunzi wa form six anayejibu swali hili kwenye mtihani wake wa mwisho wa physics wa kitaifa wa form six
 
Sasa naomba ujibu kisayansi tena kwa kiingereza kama mwanafunzi wa form six anayejibu swali hili kwenye mtihani wake wa mwisho wa physics wa kitaifa wa form six
mkuu mbona wewe huajauliza swali kwa kiingereza kama mwanafunzi wa form six anavyojibu kwa kiingereza? haya mkuu, kiingereza chake ni kama ifuatavyo: The cup is cooled by cold water in it. As the warm, moist air moves around the cup, the moisture in the air is condensed by the cold cup, forming tiny water droplets which stick on the wall of the cup.

These drops accumulate gradually to form substantial water drops which may be seen trickling off the cup surface. For more O-level revisions and exercises in various subjects, please use your tiGO simcard to send the word MAKINI to 15397 and register for the MAKINI SMS.

Thank you.
 
mkuu mbona wewe huajauliza swali kwa kiingereza kama mwanafunzi wa form six anavyojibu kwa kiingereza? haya mkuu, kiingereza chake ni kama ifuatavyo: The cup is cooled by cold water in it. As the warm, moist air moves around the cup, the moisture in the air is condensed by the cold cup, forming tiny water droplets which stick on the wall of the cup. These drops accumulate gradually to form substantial water drops which may be seen trickling off the cup surface. For more O-level revisions and exercises in various subjects, please use your tiGO simcard to send the word MAKINI to 15397 and register for the MAKINI SMS. Thank you.
thank u too...you are soo scientific, I'll name you tungamo
 
Kutokana na formula ya BODMAS unaanza mabano .. (1+2)
Halafu unakuja gawanya (6/2)
Unapata
3/3=1
Na. Kumbuka ile mbili ipo nje ya mabano na sio ndani kwahiyo lazima uigawanye kwanza
 
Kutokana na formula ya BODMAS unaanza mabano .. (1+2)
Halafu unakuja gawanya (6/2)
Unapata
3/3=1
Na. Kumbuka ile mbili ipo nje ya mabano na sio ndani kwahiyo lazima uigawanye kwanza
we uko sawa na mimi ila naona kama umekosea kugawanya badala ya kuzidisha

6/2(1+2)= 6/2*(1+2)= 3*3=9
 
jamani mm ni mwanafunz nily maliza kidato cha sita mwaka huu kwaiyo nahitaj kufaham jins ya ku apply mikopo pia muda sahihi ninao htajika kufany zoez hil tafadhal mweny kufahamu naomba anptie msaada
 
Solve for x if logx2=x/25. Kumbuka hiyo x2 ni x square
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
"WHAT ARE TYPES OF LANGUAGE COMPETENCE....?"
 
Hey guys i wanna read the novel ambayo inamikasa kibao ndan yake like tears en blood en etc so Plz any anayefaham novel nyingn nahitaj msaad plz
 
"I'd rather stay poor" kaitafut iy novel nafikir itakua suitable 4 u coz it has many events en actions
 
Ni kwanin mnatumia fimbo kama njia pekee ya kuwakanya wanafunzi!,hivi hamuwezi kubuni njia mbadala mpaka muitumie ile aliyowafundisha mkoloni jinsi ya kumtreat mtu mweusi mwenzio?,mbona wao hawachapani fimbo na wanafaulu masomo yao?
 
Back
Top Bottom