Mwanahabari Sam Mahela alikwenda wapi na anafanya nini kwa sasa?

Mwanahabari Sam Mahela alikwenda wapi na anafanya nini kwa sasa?

Sam mahela alikwenda TBC, mara akawa TCRA akirusha kipindi chao cha maudhui.
By the way.. Vitu kama hivi kwa dar au dodoma vinapatikana?
Screenshot_20241112-130711.png
 
Ni Mmoja wa wanahabari waliowai kunivutia sana kipindi anaripoti ITV, alikuwa na mbwembwe sana hasa kipindi cha uchaguzi.

Ningependa kujua alipo kwa sasa maana amepotea kabisa kwenye medani za habari!
Alivimba kichwa akajipeleka TBCCM akakaa pale kwa muda halafu wakamtupa sijui walimtupia wapi jamaa yule aisee!
 
Back
Top Bottom