fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
oh maskiniNi Mmoja wa wanahabari waliowai kunivutia sana kipindi anaripoti ITV, alikuwa na mbwembwe sana hasa kipindi cha uchaguzi.
Ningependa kujua alipo kwa sasa maana amepotea kabisa kwenye medani za habari!