balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
mchele mucheleWatu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchele mucheleWatu gani
hatarimchele muchele
Noma sana!hatari
Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!Sam mahela na ndugu yake spencer lameck wote wanepotea baada ya uchaguzi wa 2015 kuisha
Sam mahela na ndugu yake spencer lameck wote wanepotea baada ya uchaguzi wa 2015 kuisha
Una uhakika huko alikoenda 'ametupwa'?Alivimba kichwa akajipeleka TBCCM akakaa pale kwa muda halafu wakamtupa sijui walimtupia wapi jamaa yule aisee!
Katupwa mkuu. Asa kama hajatupwa mbona hasikiki?Una uhakika huko alikoenda 'ametupwa'?
Kusikika ndio kuula? Kuwa mtangazaji TBC ambako unasikika kila siku na kuwa afisa mahusiano ya umma TCRA au TCAA, wapi unakuwa umetupwa?Katupwa mkuu. Asa kama hajatupwa mbona hasikiki?
AmeolewaAlianza kupotea baada ya zile tetesi kuwa jamaa mtoto wa watu
Kwani yupo wapi mkuu?Kusikika ndio kuula? Kuwa mtangazaji TBC ambako unasikika kila siku na kuwa afisa mahusiano ya umma TCRA au TCAA, wapi unakuwa umetupwa?
Duu! Hatari sana hii.Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!
Kipindi cha kampeni mwaka 2015,CCM walimchukua Emmanuel Buhohela pale ITV awe ana cover story zao za kampeni!
Spencer Lameck Minja,akachukuliwa na Chadema awe ana cover kampeni za Chadema hasa kwenye mikutano ya Loawasa,dogo aliunguruma kweli kweli, basi bwana wale jamaa wa CCM hasa TISS walimfata dogo,nakumwambia aache kutoa taarifa za kweli za mikutano ya Lowasa,awe anatoa taarifa fake,baada ya uchaguzi angepewa keki ya Taifa, dogo aligoma!
Kuna siku Jiwe alikua na press na waandishi wa Habari pale Ikulu,dogo alimpiga swali Jiwe,anatumia vigezo gani kuteuwa Mawaziri?? Eee bwana moto uliwaka,Tiss walimvuta dogo off air,wakamwambia kumbe bado unatufatilia,ITV wakamkana dogo,kwamba yale ni maswali yake binafisi na siyo msimamo wa Itv,akapigwa chini,akaenda wasafi lakini akawa nyuma ya mic,sina hakika kama bado yuko pale!
SOgelea Telegram.Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!

Inasikitisha sanaKisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!

Hapo vip!
Huyu mtangazaji sijamsikia kitambo,na mtangazaji mzuri sana na mwenye hofu ya Mungu.
Yupo wap huyu mtoto wa Mungu?
Aisee!shoga tena😳Ipo video moja YouTube ilikuwa inauli swali hilo hilo,kwa nini Sam Mahela amepotea miaka saba.
Halafu walimwita "shoga" or something.
Kwan George Marato yuko wapi muda mrefu sijamsikiaHapo vip!
Huyu mtangazaji sijamsikia kitambo,na mtangazaji mzuri sana na mwenye hofu ya Mungu.
Yupo wap huyu mtoto wa Mungu?
alishatwaliwaKwan George Marato yuko wapi muda mrefu sijamsikia