Mwanahabari Sam Mahela alikwenda wapi na anafanya nini kwa sasa?

Sam mahela na ndugu yake spencer lameck wote wanepotea baada ya uchaguzi wa 2015 kuisha
Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!

Kipindi cha kampeni mwaka 2015,CCM walimchukua Emmanuel Buhohela pale ITV awe ana cover story zao za kampeni!

Spencer Lameck Minja,akachukuliwa na Chadema awe ana cover kampeni za Chadema hasa kwenye mikutano ya Loawasa,dogo aliunguruma kweli kweli, basi bwana wale jamaa wa CCM hasa TISS walimfata dogo,nakumwambia aache kutoa taarifa za kweli za mikutano ya Lowasa,awe anatoa taarifa fake,baada ya uchaguzi angepewa keki ya Taifa, dogo aligoma!

Kuna siku Jiwe alikua na press na waandishi wa Habari pale Ikulu,dogo alimpiga swali Jiwe,anatumia vigezo gani kuteuwa Mawaziri?? Eee bwana moto uliwaka,Tiss walimvuta dogo off air,wakamwambia kumbe bado unatufatilia,ITV wakamkana dogo,kwamba yale ni maswali yake binafisi na siyo msimamo wa Itv,akapigwa chini,akaenda wasafi lakini akawa nyuma ya mic,sina hakika kama bado yuko pale!

Kusikika ndio kuula? Kuwa mtangazaji TBC ambako unasikika kila siku na kuwa afisa mahusiano ya umma TCRA au TCAA, wapi unakuwa umetupwa?
Kwani yupo wapi mkuu?
 
Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!

Kipindi cha kampeni mwaka 2015,CCM walimchukua Emmanuel Buhohela pale ITV awe ana cover story zao za kampeni!

Spencer Lameck Minja,akachukuliwa na Chadema awe ana cover kampeni za Chadema hasa kwenye mikutano ya Loawasa,dogo aliunguruma kweli kweli, basi bwana wale jamaa wa CCM hasa TISS walimfata dogo,nakumwambia aache kutoa taarifa za kweli za mikutano ya Lowasa,awe anatoa taarifa fake,baada ya uchaguzi angepewa keki ya Taifa, dogo aligoma!

Kuna siku Jiwe alikua na press na waandishi wa Habari pale Ikulu,dogo alimpiga swali Jiwe,anatumia vigezo gani kuteuwa Mawaziri?? Eee bwana moto uliwaka,Tiss walimvuta dogo off air,wakamwambia kumbe bado unatufatilia,ITV wakamkana dogo,kwamba yale ni maswali yake binafisi na siyo msimamo wa Itv,akapigwa chini,akaenda wasafi lakini akawa nyuma ya mic,sina hakika kama bado yuko pale!
Duu! Hatari sana hii.
 
SOgelea Telegram.
 
Na JERRY MURO yeye kawekwa wapi, Alitoka Yanga, akawa DC, Nakumbuka ugomvi wake na Manara ulimfanya apotee kabisa.
 
Kisa cha Spencer Lameck Minja,nakifahamu kwa undani!

Kipindi cha kampeni mwaka 2015,CCM walimchukua Emmanuel Buhohela pale ITV awe ana cover story zao za kampeni!

Spencer Lameck Minja,akachukuliwa na Chadema awe ana cover kampeni za Chadema hasa kwenye mikutano ya Loawasa,dogo aliunguruma kweli kweli, basi bwana wale jamaa wa CCM hasa TISS walimfata dogo,nakumwambia aache kutoa taarifa za kweli za mikutano ya Lowasa,awe anatoa taarifa fake,baada ya uchaguzi angepewa keki ya Taifa, dogo aligoma!

Kuna siku Jiwe alikua na press na waandishi wa Habari pale Ikulu,dogo alimpiga swali Jiwe,anatumia vigezo gani kuteuwa Mawaziri?? Eee bwana moto uliwaka,Tiss walimvuta dogo off air,wakamwambia kumbe bado unatufatilia,ITV wakamkana dogo,kwamba yale ni maswali yake binafisi na siyo msimamo wa Itv,akapigwa chini,akaenda wasafi lakini akawa nyuma ya mic,sina hakika kama bado yuko pale!
Inasikitisha sana
 
Ipo video moja YouTube leo Jumapili ilikuwa inauliza swali hilo hilo,kwa nini Sam Mahela amepotea miaka saba.
Halafu walimwita "shoga" or something.
 
Back
Top Bottom