Mwanahabari Sam Mahela alikwenda wapi na anafanya nini kwa sasa?

Kwan George Marato yuko wapi muda mrefu sijamsikia
George Marato alioa sasa akawa hawajui ndugu wa mke wake wote siku moja mdogo wa kiume wa mke wake kaenda kwake bila taarifa mwamba akamkuta akajua ni mchepuko wa wife wake alimpiga sana mabapa ya mapanga shemeji yake akaja kuujua ukweli baada ya kutembeza sana kichapo
 
Duh story inataka kufanana na yule dada wa itv ufoo salo
 
George Marato alioa sasa akawa hawajui ndugu wa mke wake wote siku moja mdogo wa kiume wa mke wake kaenda kwake bila taarifa mwamba akamkuta akajua ni mchepuko wa wife wake alimpiga sana mabapa ya mapanga shemeji yake akaja kuujua ukweli baada ya kutembeza sana kichapo
Hii ni simulizi mpya mboni bado anatangaza ITV?
 
Ipo video moja YouTube ilikuwa inauli swali hilo hilo,kwa nini Sam Mahela amepotea miaka saba.
Halafu walimwita "shoga" or something.
Hivi habari za watu kukulana mikund u huwa mnazijulia wapi?
Nikiona mtu anatamka hii kitu nahisi harufubya mavy
 
Ipo video moja YouTube ilikuwa inauli swali hilo hilo,kwa nini Sam Mahela amepotea miaka saba.
Halafu walimwita "shoga" or something.
Bado ni presenter wa ITV mpaka leo hio miaka 7 vipi?
Screenshot_20241124-235618.png
 
Back
Top Bottom