Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Na mtaani magazeti yenye hichi kichwa cha habari ni adimu.Hili gazeti likivuka wiki hii sijui
I see!Nchimbi kaja kwa gia ya kumtoa mama madarakani then... CCM iendelee
Hii habari sina uhakika nayo ila itakuwa ni stori za kijiwe cha kahawa tu.
Haitakuwa mara ya kwanzaHili gazeti likivuka wiki hii sijui
WAKIMTOA TU TUNAKINUKISHA.KWANZA HAWANA HUO UBAVU WA KUMTOA
Habari za siku mkuuWAKIMTOA TU TUNAKINUKISHA.KWANZA HAWANA HUO UBAVU WA KUMTOA