Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.

Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

Screenshot_2024-10-30-21-46-47-1.png
 
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Screenshot_20241022-103335_1.jpg
 
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Ushindani gani unaongelea ww, huu wa tume ya uchaguzi iliyojaza makada wa ccm? Ni bonge la upuuzi kuongelea ccm kushinda uchaguzi kwa mazingira haya.
 
Yawezekana huu ndiyo ukawa uchaguzi ndani ya CCM wenye kuleta mabadiriko makubwa hadi kwenye uchaguzi mkuu.

So tukae kwa kutulia, nafaham wengi wetu hadi CCM kindakindaki kwa nje tunashangilia na kusema 5tena hadi 2030 ila kwenye uhalisia in your mind unasema bora atoke tu!.
 
Hakuna watu wanaogopa madaraka ya rais kama wanaccm. Wote salama yao ni mbeleko ya vyombo vya dola kupitia madaraka ya rais. Hakuna mwanaccm anathubutu kushindana nje ya ccm, kwani huko ndio kuna mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom