Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.

Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

View attachment 3139480


Kiukweli ile kauli ya Uwashike Wazee nilitafakari sana nikatafuta reference hadi kwenye Biblia, but Mama yetu tuko nae sana tu
 
Sahihi....Membe tu ndio alijaribu mbele ya dakitata
Hakuna watu wanaogopa madaraka ya rais kama wanaccm. Wote salama yao ni mbeleko ya vyombo vya dola kupitia madaraka ya rais. Hakuna mwanaccm anathubutu kushindana nje ya ccm, kwani huko ndio kuna mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Mama alikua na karata Moja tu angewin kusimamia haki kwa wananchi, kwa muda wa kipindi alichoongoza Cha mwendazake. Angekua Hana baya. Lakini yeye ndo akawa blaza Shetty kabisa. 😥😥 Hatuwezi kumuombea shetani
 
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Ushindani uanze ndani ya chama. Zitolewe fomu hata mia chama kipate mapato😂, kisha mama awagaragaze wooteeee.
 
Back
Top Bottom