Wewe weka ushahidi wa hilo kuwa amesema anagombea 2025. Tumuache Mama akapumzike kulea wajukuu baada ya kulitumikia Taifa hili na sasa amezeeka na amechoka kutokana na umri mkubwa.Huu ni uzushi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe weka ushahidi wa hilo kuwa amesema anagombea 2025. Tumuache Mama akapumzike kulea wajukuu baada ya kulitumikia Taifa hili na sasa amezeeka na amechoka kutokana na umri mkubwa.Huu ni uzushi
Nchi imekuwa hovyo hovyo sahiviAu mambo yamekuwa mabaya kama alivyosema JK.
Umeleta mada nikutafutie ushahidi mimi, acha masikhara kiongozi😂😂😂Wewe weka ushahidi wa hilo kuwa amesema anagombea 2025. Tumuache Mama akapumzike kulea wajukuu baada ya kulitumikia Taifa hili na sasa amezeeka na amechoka kutokana na umri mkubwa.
Vipi uwanja wa chato bado upo???Mbowe anaachia lini uwenyekiti?
Na utalii wa tiba utaanzaVipi uwanja wa chato bado upo???
Shida siyo gazeti Bali Kambarage kawavuruga bongo zenu kumuona Raisi kama Mungu mtuHili gazeti sina imani nalo toka kitambo sana ... liongo sana
Labda mambo yakiharibika sana kati ya sasa na April 2025Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.
Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.
P
Mama anapumzika 2025 hata ukitaka muulize atakuambia. Ameifanyia mengi Nchi hii kupumzika ni busara wakati akiwa hajachoka sana.Umeleta mada nikutafutie ushahidi mimi, acha masikhara kiongozi😂😂😂
Mwana CCM (nje ya Rais Samia S) anayefikiria kuchukua fomu ya uchaguzi ya Urais 2025, atapoteza pesa zake bure na kufilisika. Usiposikia la mkuu, utavunjika....................... Jaribu!Mama anapumzika 2025 hata ukitaka muulize atakuambia. Ameifanyia mengi Nchi hii kupumzika ni busara wakati akiwa hajachoka sana.
Nashukuru kwa kutambua mchango wa mama kwa Taifa. Ila kama kuna anayehitaji mapumziko ni Mh. Mbowe. Unakumbuka yupo kwa muda gani kama mwenyekiti?Mama anapumzika 2025 hata ukitaka muulize atakuambia. Ameifanyia mengi Nchi hii kupumzika ni busara wakati akiwa hajachoka sana.
Kumbe ni lazima apite si uchaguzi? Kwa CCM hamna wenye sifa zaidi?Mwana CCM (nje ya Rais Samia S) anayefikiria kuchukua fomu ya uchaguzi ya Urais 2025, atapoteza pesa zake bure na kufilisika. Usiposikia la mkuu, utavunjika....................... Jaribu!
Hili ni chaguo la Mungu, ukitaka kulipinga - Lipinge. Lakini matokeo yake ni hatari kwako, kwani hakuna anayeweza kudiriki kumpinga Mungu.Kumbe ni lazima apite si uchaguzi? Kwa CCM hamna wenye sifa zaidi?
Jiwe alipotea kwa kauli kama hizo hizoHili ni chaguo la Mungu, ukitaka kulipinga - Lipinge. Lakini matokeo yake ni hatari kwako, kwani hakuna anayeweza kudiriki kumpinga Mungu.
M Mungu akitaka jambo linatokea tu, na hakuna anayeweza kumpinga. Ya Jiwe yalipangwa na kama vile haikupangwa kwa Trump kufa kwa ile risasi, si kwa sababu ni mkwepaji mzuri wa risasi bali haikupangwa na M Mungu.Jiwe alipotea kwa kauli kama hizo hizo
Kwanini risasi ya Trump na si mirisasi ya Tundu Lissu, Unaomwonea nani aibu?M Mungu akitaka jambo linatokea tu, na hakuna anayeweza kumpinga. Ya Jiwe yalipangwa na kama vile haikupangwa kwa Trump kufa kwa ile risasi, si kwa sababu ni mkwepaji mzuri wa risasi bali haikupangwa na M Mungu.
Sasa unakubali kuwa M Mungu asipopanga kufa, hufi hata kama ni risasi zaidi ya 10 zimekulenga utaendelea kudunda tu.Kwanini risasi ya Trump na si mirisasi ya Tundu Lissu, Unaomwonea nani aibu?
Usitupangie, sisi tuna hazina ya viongozi lakini kwa sasa Mama anatutosha. Unajua Mwl. Nyerere aliongoza awamu ngapu, Mkapa je? Na wengine wote waliofuatia. Tofauti yetu na CHADEMA hatuna mwenyekiti wa maishaKumbe ni lazima apite si uchaguzi? Kwa CCM hamna wenye sifa zaidi?