Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe weka ushahidi wa hilo kuwa amesema anagombea 2025. Tumuache Mama akapumzike kulea wajukuu baada ya kulitumikia Taifa hili na sasa amezeeka na amechoka kutokana na umri mkubwa.
Umeleta mada nikutafutie ushahidi mimi, acha masikhara kiongozi😂😂😂
 
Hili gazeti sina imani nalo toka kitambo sana ... liongo sana
 
Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.

Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.

P
Labda mambo yakiharibika sana kati ya sasa na April 2025
 
Mama anapumzika 2025 hata ukitaka muulize atakuambia. Ameifanyia mengi Nchi hii kupumzika ni busara wakati akiwa hajachoka sana.
Mwana CCM (nje ya Rais Samia S) anayefikiria kuchukua fomu ya uchaguzi ya Urais 2025, atapoteza pesa zake bure na kufilisika. Usiposikia la mkuu, utavunjika....................... Jaribu!
 
Mama anapumzika 2025 hata ukitaka muulize atakuambia. Ameifanyia mengi Nchi hii kupumzika ni busara wakati akiwa hajachoka sana.
Nashukuru kwa kutambua mchango wa mama kwa Taifa. Ila kama kuna anayehitaji mapumziko ni Mh. Mbowe. Unakumbuka yupo kwa muda gani kama mwenyekiti?
 
Kumbe ni lazima apite si uchaguzi? Kwa CCM hamna wenye sifa zaidi?
Hili ni chaguo la Mungu, ukitaka kulipinga - Lipinge. Lakini matokeo yake ni hatari kwako, kwani hakuna anayeweza kudiriki kumpinga Mungu.
 
Jiwe alipotea kwa kauli kama hizo hizo
M Mungu akitaka jambo linatokea tu, na hakuna anayeweza kumpinga. Ya Jiwe yalipangwa na kama vile haikupangwa kwa Trump kufa kwa ile risasi, si kwa sababu ni mkwepaji mzuri wa risasi bali haikupangwa na M Mungu.
 
Kwanini risasi ya Trump na si mirisasi ya Tundu Lissu, Unaomwonea nani aibu?
 
Kumbe ni lazima apite si uchaguzi? Kwa CCM hamna wenye sifa zaidi?
Usitupangie, sisi tuna hazina ya viongozi lakini kwa sasa Mama anatutosha. Unajua Mwl. Nyerere aliongoza awamu ngapu, Mkapa je? Na wengine wote waliofuatia. Tofauti yetu na CHADEMA hatuna mwenyekiti wa maisha
 
Back
Top Bottom