TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Wananchi unaowakusudia ni wepi mufti?.Mngeanza na wananchi. Waone maji ni yapi na tope ni lipi!
Mimi mwenyewe tayari nimeona maji na tope ni lipi!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi unaowakusudia ni wepi mufti?.Mngeanza na wananchi. Waone maji ni yapi na tope ni lipi!
Bahati nzuri Wana CCM wenyewe wanajua sana kutafsiri Katiba yao.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

Kama namuona vile povu lilivyomjaa mdomoni kwa kutumia hasira!! Sijui kwa nini? I 😂😂😂Huna adabu kabisa na una akili ndogo sana wewe.umejaa ukabila ,ukanda na chuki binafsi muda wote.
Kama namuona vile povu lilivyomjaa mdomoni kwa kutumia hasira!! Sijui kwa nini? I 😂😂😂Huna adabu kabisa na una akili ndogo sana wewe.umejaa ukabila ,ukanda na chuki binafsi muda wote.
😜😜😜 nalamba kwa jicho la kengezaSumu haijaribiwi kwa kulambwa
hata hayo maoni nayo ni uhaini?
Mama alishasema anapumzika 2025. Pia baada ya wananchi kupiga kura ndio mshindi atajulikana. Hizo kura zinazojulikana kwa sasa kuwa ni za nani zimetoka wapi?Labda hizo sifa unatoa wewe. Watanzania wanaopiga kura wanamuona anatufaa. Hivi we jamaa umewahi kwwndaTandahimba, Newala, Nanyamba, Liwale, Mama, Mangaka, Masasi.....!! Yaani huko kura zote ni za Mama Samia
Basi tulizeni bolu, msubiri mwakani. Maana mshaanza kuwewesekaMa
Mama alishasema anapumzika 2025. Pia baada ya wananchi kupiga kura ndio mshindi atajulikana. Hizo kura zinazojulikana kwa sasa kuwa ni za nani zimetoka wapi?
Kwa hiyo tuamini kwa kuwa umetuma kipande cha gaxeti🤣😍😍Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Alikuambia wapi anapumzika da mmaroroi acha umbea🤣🤣🤣Ma
Mama alishasema anapumzika 2025. Pia baada ya wananchi kupiga kura ndio mshindi atajulikana. Hizo kura zinazojulikana kwa sasa kuwa ni za nani zimetoka wapi?
La sivyo Mbowe ni competent? Acha masihara basi Burkinabe!Kama
Kama CCM wanataka ya BDP yasijirudie kwao, basi wanapaswa kutuletea mtu "competent" kweli kweli mwenye kukubalika kwa wengi, vinginevyo wataangukia pua!
Wananchi wengi kwa sasa ni kama wamekata tamaa ya maisha
Alisema na gazeti la Mwananchi lilinukuu labda kama kuna mabadiliko. Nyie ndiyo mnamshinikiza ila Mama yeye anataka apumzike 2025 baada ya kuifanyia mengi Nchi hii na umri wake umeenda anapendelea kupumzika Siasa.Alikuambia wapi anapumzika da mmaroroi acha umbea🤣🤣🤣
Tujiulize ikiwa aliyepo madarakani yupo KwaHii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.
Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.
P
Ikiwa HOJA Yako Ina mashiko, Haris atashinda,Tunapoteza nguvu nyingi sana kupiga ramli. Ki ufupi Rais SSH atagombea 2025.
Suala la mchakato wa kura za maoni halina tija sana, angalia Marekani jinsi chama cha Democrat kilimpendekeza makamu wake wa rais Kamala Harris agombee baada ya Rais Biden kutangaza hatogombea na kumuunga mkono makamu wake. Hakuna mchakato wowote uliofanyika kumpata mgombea wa uraisi kama ilivyozoeleka.
CCM hakikuwahi kufiwa Rais akiwa madarakani,Si lazima wagombee kupitia CCM.
CCM ina ytaratibu zake na inaweza kuamuwa ni nani agombee na nani asigombee kupitia kwao.
Kama unabisha muuliza Slaa.
magufuli likufa akiwa nje ya madaraka?CCM hakikuwahi kufiwa Rais akiwa madarakani,
Sasa huo Utaratibu ni mpya,
Mchujo ni lazima.