Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm has given rise to obvious underlying problems so far: hired goon party loyalists (machawa) with unchecked powers to intimidate, abduct, torture and murder alleged opponents; corruption and unequal resource sharing; a massive decline of trust in the legal system; single party monopoly which creates election victories rather than people-focused plans for the future.
ccm party is also holding to a decrepit and dysfunctional constitution doesn’t really apply to the 21st century.
CCM is not a political party but a union of Tanzania's security apparatuses with a political wing. One would do himself a great favour demystifying this truth.​
 
Kama chadema hawajawahi kushika dola huwezi linganisha na ccm, maana chadema wako kwaajili ya kutafuta, walishajifuza kupitia hawa, nccr-mageuzi, tpl, na cuf, ??
Sasa chama tu huwachii madaraka ukipata nchi si utakuwa kama rais wa Cameroon.
 
Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.

Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.

P
Umeandika kuwafunga kihuru mwezako wa ccm,
 
Mayalla umekengeuka
Utakuwa unanionea bure, huu ndio utaratibu wa siku zote wa CCM, nimekengeuka vipi?!.
Kwa vile mimi ni mwanachama na kada wa CCM, ushauri wangu kwa chama changu kuhusu urais wa 2025 uko kwenye mada ya sauti HII
P
 
Sasa chama tu huwachii madaraka ukipata nchi si utakuwa kama rais wa Cameroon.
Kuongoza chama, na kuongoza nchi, ni kitu kiwili tofauti sana, mbowe jambo lakutizama, chama kuwa imara na kushida na kushika dola, kuachia mtu, mwingine chadema, mbowe, yule akiyumba chama kinapotea kabisa, kuliko kuongoza nchi, raisi akiyumba nchi haitapotea.
 
Nasubiri comment za hii vijembe club 👇
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.

Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

Vipi katiba ya chadema inaruhusu kumchallange mwenyekiti au ndo utakuwa ushaonja sumu Kwa kuilamba?
 
Kama
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.

Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

Kama CCM wanataka ya BDP yasijirudie kwao, basi wanapaswa kutuletea mtu "competent" kweli kweli mwenye kukubalika kwa wengi, vinginevyo wataangukia pua!
Wananchi wengi kwa sasa ni kama wamekata tamaa ya maisha
 
Back
Top Bottom