Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Hivi kipo cha kuwafanya Chadema wamuogope mama? Ni kipi zaidi ya dola na mbeleko ya katiba mbovu?
 
Kwa nini mtoe form moja? Wengine hawana haki ya kugombea?
Si lazima wagombee kupitia CCM.

CCM ina ytaratibu zake na inaweza kuamuwa ni nani agombee na nani asigombee kupitia kwao.

Kama unabisha muuliza Slaa.
 
Weka kifungun cha Katiba ya CCM inayosema hiyo. Wewe ni Mwanasheria usipotoshe, ni kuna mazoea yanayoweza kuwa sheria. CCM inafuta Katiba kupata wagombea wa Urais na si ushabiki au mazoea. Hakuna cha Fomu moja, kila mwenye sifa Katiba ya CCM inamruhusu kugombea.
Tunaongozwa kwa katiba, sheria, taratibu na kanuni, hivyo mserereko sio sheria, ni taratibu zetu tuu za ki CCM.
Kila chama kiko huru kujiwekea taratibu zake, fomu moja ndio utaratibu wa CCM midways
P
 
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Unasifia mpaka unamwaribia unayemsifia. Reference ni 2mbili,
 
Kwa hiyo kama hana sifa lazima aongoze misimu miwili?
Labda hizo sifa unatoa wewe. Watanzania wanaopiga kura wanamuona anatufaa. Hivi we jamaa umewahi kwwndaTandahimba, Newala, Nanyamba, Liwale, Mama, Mangaka, Masasi.....!! Yaani huko kura zote ni za Mama Samia
 
Tatizo la CCM ni unafiki. Hata kama mtu anafahamu ukweli kama mkubwa wake hakubaliani nao ananywea. Hoja ya Polepole ilikuwa sahihi sana kwamba SSH yupo Awamu ya Tano sehemu ya pili. Wangemuunga mkono saa hizi mambo yasingekorogeka. Maana 2025 ndio mwaka kamili wa uchaguzi. Ndicho kipindi cha kila mtu kuonesha nia. Maana tangu 2015 miaka 10 itakuwa imekamilika.
 
Najuwa ila nimesema hizi taasisi zote hakuna wa kumyoshea kidole mwenzake japo CCM wana nafuu wao wamesema wazi sisi hizi ni tamaduni zetu kumpa mwenyekiti nafasi mara 2 akimaliza basi lakini wengine huko hakuna tamaduni wala limit
Kama chadema hawajawahi kushika dola huwezi linganisha na ccm, maana chadema wako kwaajili ya kutafuta, walishajifuza kupitia hawa, nccr-mageuzi, tpl, na cuf, ??
 
Back
Top Bottom