fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
lipumba anaachia lini na hashim rungwe vpMbowe anaachia lini uwenyekiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lipumba anaachia lini na hashim rungwe vpMbowe anaachia lini uwenyekiti?
Kivipi na kwa njia gani?!Huyu mzanzibari hawezi kuwa rais tena.
Hii ndio demokrasia amboyo CCM inahitaji. Hatutaki mambo ya kuchapisha fomu moja ya Urais, kila mwenye sifa rukhusa kugombea. Asiwepo wa kuwatisha wengine kugombea na atakayepita ni mwenye sifa na si wa kubebwa. CCM hoyeeee!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
CCM wanagombea wote wenye sifa. Hiyo ya fomu moja ni chama chako cha mfukoni. CCM tunayoijua haina utaratibu huo, huyo mgombea wako apambane awe na sifa maana hakutakuwa na mteremko.CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.
Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Cheyo je? Na mwenyekiti wa CCM huwa anashindanishwa na nani kwenye nafasi hiyo?Mbowe anaachia lini uwenyekiti?
Ile ripoti ya utekaji imetoka? Haraka ni hadi lini?Huna adabu kabisa na una akili ndogo sana wewe.umejaa ukabila ,ukanda na chuki binafsi muda wote.
In Mange Kimambi's Voiceunasema bora atoke tu!.
Mbona siye hatupati hizo teuzi au mpaka tuwe machawa...na sifa tunazo si ni Kujua kusoma na kuandika...Hawana lolote zaidi ya kuwa machawa ili watoto wao wapate teuzi.
Usiwasikiliza hawana nguvu yoyote.
Weka kifungun cha Katiba ya CCM inayosema hiyo. Wewe ni Mwanasheria usipotoshe, hakuna mazoea yanayoweza kuwa sheria. CCM inafuta Katiba kupata wagombea wa Urais na si ushabiki au mazoea. Hakuna cha Fomu moja, kila mwenye sifa Katiba ya CCM inamruhusu kugombea.Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.
Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.
P
ccm has given rise to obvious underlying problems so far: hired goon party loyalists (machawa) with unchecked powers to intimidate, abduct, torture and murder alleged opponents; corruption and unequal resource sharing; a massive decline of trust in the legal system; single party monopoly which creates election victories rather than people-focused plans for the future.CCM is a den of vipers and wolves 😂
Cheki last seen yake
Kwa hiyo kama hana sifa lazima aongoze misimu miwili?Tangu tumepata uhuru maraisi wote wanahudumu misimu miwili. Na hivyo ndo ilivyo.., nyie jidanganyeni tu.
Hivi kwa utulivu na usalama huu wa nchi na namna Tanzania inavyopaa kimataifa takriban ktk kila Nyanza mnadhani ni rahisi kumtoa Mama Samia pale??? Subutuuu
Huwezi kumlinganisha Harris na Samia wako mbali sana.Tunapoteza nguvu nyingi sana kupiga ramli. Ki ufupi Rais SSH atagombea 2025.
Suala la mchakato wa kura za maoni halina tija sana, angalia Marekani jinsi chama cha Democrat kilimpendekeza makamu wake wa rais Kamala Harris agombee baada ya Rais Biden kutangaza hatogombea na kumuunga mkono makamu wake. Hakuna mchakato wowote uliofanyika kumpata mgombea wa uraisi kama ilivyozoeleka.
ccm kama ukoo wa mafisi... Hawaeleweki!Yawezekana huu ndiyo ukawa uchaguzi ndani ya CCM wenye kuleta mabadiriko makubwa hadi kwenye uchaguzi mkuu.
So tukae kwa kutulia, nafaham wengi wetu hadi CCM kindakindaki kwa nje tunashangilia na kusema 5tena hadi 2030 ila kwenye uhalisia in your mind unasema bora atoke tu!.
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume