Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo liko wazi huo ni mwanzo tu mbona watamalizana na kupoteana sa100 hatakiwi ndo maana anatoa rushwa huko misikitini na makanisani
Hatakiwi na akina nani ??!
Hatakiwi na waoga ndani ya Chama ambao wanajificha ficha ???!
Kama ni hivyo Hiyo haiwezi kumsumbua Mwenyekiti !!
Kama hatakiwi na wale wezi wezi na mafisadi basi na sisi wapiga kura hatuwataki hao jamaa !!
Kama sio wale akina Naniliu basi wajitokeze tuwajue 😳🙏🙏 !
 
Hao wanaCCM watatu huenda kwa kushawishiwa au kwa ukaidi wao wenyewe wameamua kupuuza hatari ya kutaka kumtikisa mwenyekiti wa CCM ambaye bado muda wake haujaisha. CCM itashughulika nao wakivuka mstari wa ustaarabu.
 
H
Hao wanaCCM watatu huenda kwa kushawishiwa au kwa ukaidi wao wenyewe wameamua kupuuza hatari ya kutaka kumtikisa mwenyekiti wa CCM ambaye bado muda wake haujaisha. CCM itashughulika nao wakivuka mstari wa ustaarabu.
ao watatu ni akina nani ??!
 
Naona;-

Walianza gazeti la uhuru "samiah :-sitogombea 2025!!!Mama wakamuingiza mkenge akaanza kampeni kabla ya muda na mahela kibao akayamwaga Hadi uchumi ukayumba!nasikia eti ana print pesa kisiri siri!

Sasa Leo Mwanahalisi nae kamuingiza kwenye vita vingine "wagonbea watatu ndani ya ccm 2025 nafasi ya Rais"!!!maana yake anaingizwa kwenye vita ambavyo hajui yupi ndio target ya Dola kumuingiza ikulu!!

Kichwa kitamuuma Sana na kuchanganyikiwa!!
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.

Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

Watajengewa makazi ya kudumu hapa Dar es Salaam na kurejeshwa kwenye kile kilinge cha wazee washauri utaona. Ila upinzani upo pale pale.
 
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Wewe mlamba matakoh maskini ,hohehahe uliyesahaulika wenzio wanapata kitu. Wewe unaishia kubemendwah tu mara na Kafulilah mara na Makondah. Hakuna mgombea rahisi kumwangusha kwenye uchaguzi huru kama samia.
 
Back
Top Bottom