Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Pre GE2025 MwanaHalisi: Siri yavuja, Watatu Wajipanga Kugombea Urais 2025 kupitia CCM, Katiba ya Chama chao yawaruhusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.

Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume

Hii ndio demokrasia amboyo CCM inahitaji. Hatutaki mambo ya kuchapisha fomu moja ya Urais, kila mwenye sifa rukhusa kugombea. Asiwepo wa kuwatisha wengine kugombea na atakayepita ni mwenye sifa na si wa kubebwa. CCM hoyeeee!
 
CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.

Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
CCM wanagombea wote wenye sifa. Hiyo ya fomu moja ni chama chako cha mfukoni. CCM tunayoijua haina utaratibu huo, huyo mgombea wako apambane awe na sifa maana hakutakuwa na mteremko.
 
Tunapoteza nguvu nyingi sana kupiga ramli. Ki ufupi Rais SSH atagombea 2025.

Suala la mchakato wa kura za maoni halina tija sana, angalia Marekani jinsi chama cha Democrat kilimpendekeza makamu wake wa rais Kamala Harris agombee baada ya Rais Biden kutangaza hatogombea na kumuunga mkono makamu wake. Hakuna mchakato wowote uliofanyika kumpata mgombea wa uraisi kama ilivyozoeleka.
 
Hawana lolote zaidi ya kuwa machawa ili watoto wao wapate teuzi.

Usiwasikiliza hawana nguvu yoyote.
Mbona siye hatupati hizo teuzi au mpaka tuwe machawa...na sifa tunazo si ni Kujua kusoma na kuandika...
 
Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.

Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.

P
Weka kifungun cha Katiba ya CCM inayosema hiyo. Wewe ni Mwanasheria usipotoshe, hakuna mazoea yanayoweza kuwa sheria. CCM inafuta Katiba kupata wagombea wa Urais na si ushabiki au mazoea. Hakuna cha Fomu moja, kila mwenye sifa Katiba ya CCM inamruhusu kugombea.
 
CCM is a den of vipers and wolves 😂
ccm has given rise to obvious underlying problems so far: hired goon party loyalists (machawa) with unchecked powers to intimidate, abduct, torture and murder alleged opponents; corruption and unequal resource sharing; a massive decline of trust in the legal system; single party monopoly which creates election victories rather than people-focused plans for the future.
ccm party is also holding to a decrepit and dysfunctional constitution that doesn’t really apply to the 21st century.
 
Aje yeyeto..ni mwepesi kuliko TP.CCM kwa Uraisi ni chali mapema tu.Samia ndiyo kabisaaaaaaa..
 
Tangu tumepata uhuru maraisi wote wanahudumu misimu miwili. Na hivyo ndo ilivyo.., nyie jidanganyeni tu.
Hivi kwa utulivu na usalama huu wa nchi na namna Tanzania inavyopaa kimataifa takriban ktk kila Nyanza mnadhani ni rahisi kumtoa Mama Samia pale??? Subutuuu
Kwa hiyo kama hana sifa lazima aongoze misimu miwili?
 
Tunapoteza nguvu nyingi sana kupiga ramli. Ki ufupi Rais SSH atagombea 2025.

Suala la mchakato wa kura za maoni halina tija sana, angalia Marekani jinsi chama cha Democrat kilimpendekeza makamu wake wa rais Kamala Harris agombee baada ya Rais Biden kutangaza hatogombea na kumuunga mkono makamu wake. Hakuna mchakato wowote uliofanyika kumpata mgombea wa uraisi kama ilivyozoeleka.
Huwezi kumlinganisha Harris na Samia wako mbali sana.
 
Yawezekana huu ndiyo ukawa uchaguzi ndani ya CCM wenye kuleta mabadiriko makubwa hadi kwenye uchaguzi mkuu.

So tukae kwa kutulia, nafaham wengi wetu hadi CCM kindakindaki kwa nje tunashangilia na kusema 5tena hadi 2030 ila kwenye uhalisia in your mind unasema bora atoke tu!.
ccm kama ukoo wa mafisi... Hawaeleweki!
 
Back
Top Bottom