Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Katiba itakapomgomea 🐼Mbowe anaachia lini uwenyekiti?
Huna adabu kabisa na una akili ndogo sana wewe.umejaa ukabila ,ukanda na chuki binafsi muda wote.Huyu mama apumzike IQ yake ni zero
Ni ya urithi ,ukwe na ushemejiKwani nafasi ya Mwenyekiti CDM ni ya kisiasa ? 🤣
Ushindani gani unaongelea ww, huu wa tume ya uchaguzi iliyojaza makada wa ccm? Ni bonge la upuuzi kuongelea ccm kushinda uchaguzi kwa mazingira haya.CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.
Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Chadema hadi leo mnamwogopa Ayatollah Mbowe, sumu haionjwi..Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
View attachment 3139480
Labda mambo yawe mabaya sana kati ya sasa na hapo baadae.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
View attachment 3139480
Chadema hadi leo mnamwogopa Ayatollah Mbowe, sumu haionjwi..