Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

Kama na Naibu Spika Ndugai alikuwepo kwa nini na yeye asitoweke kunusuru maisha yake? Yeye mbona haogopi?
 
Mkuu. Naamini hawa manguli wanachukua hatua thabiti kuepusha macho na meno yao dhidi ya makoleo ya kina Joseph Mulundi.

Atakaye pona JF ni Invisible peke yake maana hawata muona au huenda wako naye lakini hawamuoni.

kweli kaka.
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitu kwenye magamba kwani yalikwisha ondolewa tatizo ni magwanda.na moja wao amekatwa jana bado wengine labda tundu lisu anajua alikojificha

akili ndogo kama mpuuzi mmoja anapenda kucheka cheka kama mwanamke aliyesamehe wezi wa mabilioni benki kuu
 
Aibu kwa waliowatupu kichwani na mwilini inakaribia, utawala wa majuha na uongozi wa kiimla kamwe hautoshinda
 
kuna kitu wengi hatujajua japo baadhi wanajua hili. Ni haki ya raia yeyote kumiliki siraha mradi amefuata taratibu ambazo nyingi ziko wazi lakini wengi tunajua kuwa sio watu wengi wanaomiliki bunduki hapa nchini.
Kinachoendelea sasa, vijana wadogo ambao ni watoto, mashemeji, hata 'house boys' wenye uhusiano na watu wa serikali hivi sasa wanatembea na bastola na unaweza kukuta anaitoa adharani hata kwa ugonvi wa kijinga tu. Mfano unamdai pesa yako (tena ndogo) tu anaishia kukutishia kwa bastola.
Kwa hali hii sio ajabu hizi figure kubwa katika siasa zikawa na 'vijana wa kazi' (majeshi) yao ambapo ukikorofishana nao waweza kuwa takwimu. Inatia mashaka maana watu wasistahili kuwa na mali nyingi na nmadaraka makubwa tayari wameshakabidiwa, ni sawa na kumpa mtoto kisu achezee

 
Mtasikia wachawi wakisema CHADEMA wanahusika

We ulikuwa hujuhi? Habari ndio hiyo.

Hii yote ni dhambi ya kula nyama ya mtu huwezi acha, wameuana wenyewe kwa wenyewe sasa wanaua na wengine.
Ukitaka kujua hawa jamaa ni noma we fikiria ilikuwa vipi hadi Nyerere akauliwa na huku vijana wote walio mu ua ni wake tena kasomesha na wengine kafundisha yeye mwenyewe, sembuse mimi na wewe?
 
....tayari washasema

tena ya huyu itakuwa komesha anaweza uliwa na kichwa chake wakakikuta nyumbani kwa mheshimiwa mbowe alafu tbcccm na uhuru wanamaliza kazi 'chadema kwisha kichwa cha mwanaharakati chakutwa nyumbani kwa mwenyekit mbowe' yaani nakoswa taswira ya siasa inakopelekwa na hawa nyinyiem
 
Sasa kama Chadema wana uwezo mkubwa namna hiyo kuna hatari tukasikia Kikwete katekwa na Chadema

Usitake ncheke Bujibuji, hawa jamaa wa ccm bwana naona hata hawana idea ya nini kinachowafanya wachukiwe na wananachi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nafutwa sana ila nataka kuwa akikishia hawata weza kunifanya kama ulimboka na kibanda,mimi ndiye ntawafanya vibaya na nta waua mmoja baada ya mwingine.
 

hakuna dhambi kubwa sana duniani kama uoga! Mwanaharakati anatakiwa kusimamia kwenye ukweli na wala si vingine. Kama anafanya harakati halafu anaenda kujificha basi mwambieni abaki hukohuko labda kama kujificha kwake ni mbinu ya uanaharakati lakn kama kujificha kwake ni kukimbia kifo au mateso basi hafai kuwa mwanaharakati. Nawaonya pia watu wengi wanaojitapa kwenye vyombo vya habari eti ni wanaharati. Uanaharakati hautakiwi kukimbia matatizo ikiwa ni pamoja na kifo. Angalia akina che guavala,mandela etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…