Unahisi hapo umesaidia?Maimasa ni mpumbavu sana ,anatumika kuchafua watu ,Malisa GJ tangu aende marekani hana hata mwaka mmoja na inaonekana kabisa huyo dada ni Muongo...Malisa sidhani kama ana watoto zaidi ya wawili na mkewe ambaye aliyefunga naye ndoa.
Ni Porojo wala hakuna ukweli ya taarifa ya maimatha ,huyo dada ameokotwa tu huko uwanja wa fisi ili aje kumchafua Malisa ,tone yake tu inaonekana ni CHAKARAMU dada wa kanga moko mchiriku uswazi.Unahisi hapo umesaidia?
Na ikitokea ni ukweli?Ni Porojo wala hakuna ukweli ya taarifa ya maimatha ,huyo dada ameokotwa tu huko uwanja wa fisi ili aje kumchafua Malisa ,tone yake tu inaonekana ni CHAKARAMU dada wa kanga moko mchiriku uswazi.
Nasema kwamba ni propaganda 7bu ni kwamba tangu Malisa aende marekani hana hata mwaka huko ,kwahiyo miaka miwili aliyekuwa anaishia TZ huyo dada mbona hawawahi kujitokeza kusema?Kwanini unaita propaganda? Fungua ile link mimeweka usikie sauti ya mkewe. Link inatoka page ya MaiMarthaJesse
Vipi kuhusu watoto wake? Kweli wateseke na kukosa shule wakati anachngishia watoto asiowajua mamilioni?Huwezi jua labda huyo dada aliondoka na majigambo na matusi ya kutosha kwa Malisa, kua hahitaji msaada wowote anajiweza. Yamemshinda huko ndio anapiga mikelele hii. Hawa wanawake ni mama na dada zetu, lakini akili zao uwaga wanaziacha chooni. Ameona jamaa mambo mazuri yupo zake huku mamtoni ndio anaanza kelele, Malisa shikilia hapo hapo hakuna kutuma wala kutoa msaada wowote hadi aombe pooh.