Mwanaharakati Malisa GJ adaiwa kutelekeza wanae watatu

Mwanaharakati Malisa GJ adaiwa kutelekeza wanae watatu

Nasema kwamba ni propaganda 7bu ni kwamba tangu Malisa aende marekani hana hata mwaka huko ,kwahiyo miaka miwili aliyekuwa anaishia TZ huyo dada mbona hawawahi kujitokeza kusema? Kwanini Malisa alivyoenda marekani na kuanza kuwapiga SPANA SISIEMU ndiyo huy MLUPO waliomuokota Uwanja wa FISI amejitokeza?
Unamuita mlupo mama wa
watoto wa Malisa?
 
Haujanielewa vizuri kumbe....

Nasema kwamba Malisa GJ mkewe halisi na watoto wake hawajatelekezwa ,huyo "Mkewe" aliyehojiwa na maimatha ni wa KUOKOTEZA uwanja wa FISI ili aje kumchafua Malisa GJ ,ni kama Bashite alivyomuokota mwanamke mtaani akambebesha mtoto akaenda SHILAWADU aende kumchafua GWAJIMA.
Sawa, tuletee mke halisi wa Malisa ndipo utakuwa umefunga huu mjadala
 
Huwezi jua labda huyo dada aliondoka na majigambo na matusi ya kutosha kwa Malisa, kua hahitaji msaada wowote anajiweza. Yamemshinda huko ndio anapiga mikelele hii.

Hawa wanawake ni mama na dada zetu, lakini akili zao uwaga wanaziacha chooni. Ameona jamaa mambo mazuri yupo zake huku mamtoni ndio anaanza kelele, Malisa shikilia hapo hapo hakuna kutuma wala kutoa msaada wowote hadi aombe pooh.

Mkuu, mwanaume wa kweli hawezi watesa watoto wake wa kuwazaa ili kumkomoa mama yao. Hiyo haipo. Hapo unaowatesa ni watoto.

Huwezi ua mbu aliyetua kwenye pumbu kwa nyundo utayeumia ni wewe.

Naamini anachafuliwa ila kama his train of thought ni kumuwajibisha mama yao kwa kutohudumia watoto atakua amefeli sanaaaaaa nachelea kusema atakua ni mpumbavu.
 
View attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.

GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.

Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.

View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0

Mavi ya mama haya
Wewe umetelekeza wangapi?
Pumbav
 
muulizeni Doreen na mana yake na ndugu zake Doreen baba yao mzazi aitwaye Alex wamempeleka wapi?
 
Pascal tusaidie, hivi kwenye taaluma ya habari mwandishi anaweza kutoa habari kama hii bila kuongea na upande wa pili.
Sijaona balance ya story.
Mkuu Rodi,@rodrick alexander, habari hii sio tuu imekosa balance only,but its un ethical kuonyesha picha za watoto minors mtandaoni,zitawafanya watoto kuwa stigmatized na kuwa ridiculed shuleni na lwenye jamii.

Huyo mke amemkosea sana mwenza wake, kwa kumtuhumu
amemfanya kitu mbaya hivyo kuikimbia nyumba na kutokomea na familia kwa kumtelekeza mume na kukimbilia huko alikokimbilia.

Ziko sheria, taratibu na kanuni za separation, mke anapoikimbia matrimonial home, yeye mwenyewe kwa sababu zozote, hastahili matunzo, na anapokimbia na watoto under 7 years, watoto wanastahili matunzo, alitakiwa aripoti ustawi ya jamii, jamaa ataitwa, akigoma, inatolewa ruling in absential, inapelekwa ofisini kwake, anakatwa fedha za matunzo, direct from his pay slip kutunza watoto atake asitake!.

Ingekuwa ni mke amefukuzwa nyumbani kwenye nyumba ya ndoa, then mume angewajibika kumlipia nyumba na matunzo ya mama na watoto, lakini mama akiimbimwenyewe nyumba, rigwaride rimemshinda, mama atajibeba watoto ndio watatunzwa!.

P
 
Back
Top Bottom