King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Weka JIWE ,mimi naweka MLIO ,nina uhakika nakula JIWE LAKO.Na ikitokea ni ukweli?
Weka JIWE ,mimi naweka MLIO ,nina uhakika nakula JIWE LAKO.Na ikitokea ni ukweli?
Kwani anaowasaidia siyo watoto au hawajitaji msaada?Vipi kuhusu watoto wake? Kweli wateseke na kukosa shule wakati anachngishia watoto asiowajua mamilioni?
Sawa. Muda ni Mwalimu mzuri.Weka JIWE ,mimi naweka MLIO ,nina uhakika nakula JIWE LAKO.
Huyo huyo wa Uwanja wa Fisi ndiyo mwenzio Malisa alimpenda akafunga naye ndoa.Ni Porojo wala hakuna ukweli ya taarifa ya maimatha ,huyo dada ameokotwa tu huko uwanja wa fisi ili aje kumchafua Malisa ,tone yake tu inaonekana ni CHAKARAMU dada wa kanga moko mchiriku uswazi.
Haujanielewa vizuri kumbe....Huyo huyo wa Uwanja wa Fisi ndiyo mwenzio Malisa alimpenda akafunga naye ndoa.
Malisa mwenyewe mbona yupo kimya sana saiv kwamba ameshahongeka?Muonekano wa malissa ni mtu anayeongeka muda wowote ila yule mwamba TAL kumanina zake,Nampa heshima zake hadi naingia kaburini.
Hapa unampa heshima au unamvunjia heshima?..Muonekano wa malissa ni mtu anayeongeka muda wowote ila yule mwamba TAL kumanina zake,Nampa heshima zake hadi naingia kaburini.
Namkubali sana TAL,elewa hilo.Hapa unampa heshima au unamvunjia heshima?..
Ila watu bwana 🤣🤣 Hata hujasikia Malisa mwenyewe anasema tayari umeshatengeneza stori yako ya kumfanya huyo dada aonekane mbayaHuwezi jua labda huyo dada aliondoka na majigambo na matusi ya kutosha kwa Malisa, kua hahitaji msaada wowote anajiweza. Yamemshinda huko ndio anapiga mikelele hii. Hawa wanawake ni mama na dada zetu, lakini akili zao uwaga wanaziacha chooni. Ameona jamaa mambo mazuri yupo zake huku mamtoni ndio anaanza kelele, Malisa shikilia hapo hapo hakuna kutuma wala kutoa msaada wowote hadi aombe pooh.
View attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.
Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.
View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0