Mwanaharakati Malisa GJ adaiwa kutelekeza wanae watatu

Ni Porojo wala hakuna ukweli ya taarifa ya maimatha ,huyo dada ameokotwa tu huko uwanja wa fisi ili aje kumchafua Malisa ,tone yake tu inaonekana ni CHAKARAMU dada wa kanga moko mchiriku uswazi.
Huyo huyo wa Uwanja wa Fisi ndiyo mwenzio Malisa alimpenda akafunga naye ndoa.
 
Huyo huyo wa Uwanja wa Fisi ndiyo mwenzio Malisa alimpenda akafunga naye ndoa.
Haujanielewa vizuri kumbe....

Nasema kwamba Malisa GJ mkewe halisi na watoto wake hawajatelekezwa ,huyo "Mkewe" aliyehojiwa na maimatha ni wa KUOKOTEZA uwanja wa FISI ili aje kumchafua Malisa GJ ,ni kama Bashite alivyomuokota mwanamke mtaani akambebesha mtoto akaenda SHILAWADU aende kumchafua GWAJIMA.
 
Ila watu bwana 🤣🤣 Hata hujasikia Malisa mwenyewe anasema tayari umeshatengeneza stori yako ya kumfanya huyo dada aonekane mbaya
 
Nimesikiliza hiyo story kwa makini naona mwanamke ni tatizo. Hata kupeleka story kwenye media ya kishenzi kama Maimartha TV tayari kaonyesha ni mpuuzi. Ingawa siwezi pia kusema Malisa ni msafi kwa 100% ila hadi hapa upande wa mwanamke umeonyesha kuwa na tatizo.

Hawa jamaa wa CHADEMA huwa wapo makini na watoto wao ingawa ni mabingwa wa kupotosha watoto wa wengine. Ni ngumu kwa Malisa kuwa na tabia tofauti na viongozi wake wa Ufipa kwenye ishu za watoto. Watoto wao wanawalinda kwa wivu mkubwa. Huwezi kuwaona kwenye maandamano.
 
Hao watoto wana umri gani?
Huyo mwanamke aliachwa kwa sababu gani?
 
Tutaona mengi sasa hv, but why now! Kwanini viongozi, wa, chadema wanachafuliwa sana, sasa hv kwa vitu vingine binafsi?

Ccm kuna mashoga, *******, wasagaji, wamejaa bungeni, michepuko kibao, kuna ambao wanafumaniwa, kila siku, kama katelekeza watoto, how, is that national issue, unataka kusema, yeye kutelekeza watoto ni jambo kubwa lenye madhara kuliko CCM kuiba na kufisadi nchi hii, malisa kutelekeza watoto kuna madhala gani kwenye ukosefu wa, ajira,huduma za, afya mbovu,mfumuko wa, bei?

Yeye aliyetelekeza watoto na nyie mlioua baba(mdude) watoto wakabaki yatima na ni mbaya!

Pole pole yupo wapi vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…