Unamuita mlupo mama waNasema kwamba ni propaganda 7bu ni kwamba tangu Malisa aende marekani hana hata mwaka huko ,kwahiyo miaka miwili aliyekuwa anaishia TZ huyo dada mbona hawawahi kujitokeza kusema? Kwanini Malisa alivyoenda marekani na kuanza kuwapiga SPANA SISIEMU ndiyo huy MLUPO waliomuokota Uwanja wa FISI amejitokeza?
Sawa, tuletee mke halisi wa Malisa ndipo utakuwa umefunga huu mjadalaHaujanielewa vizuri kumbe....
Nasema kwamba Malisa GJ mkewe halisi na watoto wake hawajatelekezwa ,huyo "Mkewe" aliyehojiwa na maimatha ni wa KUOKOTEZA uwanja wa FISI ili aje kumchafua Malisa GJ ,ni kama Bashite alivyomuokota mwanamke mtaani akambebesha mtoto akaenda SHILAWADU aende kumchafua GWAJIMA.
Mtoto mwenyewe alikuwa mvaa ushungi aliyezaliwa Mbagala, alikuwa anamuita Lowassa baba yake wa kuambiwa na Bashite ''Ruwasa"tangu alipopatikana mtoto aliye telekezwa na eddu huwa siwaamini cckm
Yupo Marekani sasa sijui huyo aliyehojiwa na Maimatha kamtolea wapi.Sawa, tuletee mke halisi wa Malisa ndipo utakuwa umefunga huu mjadala
Huyo ni CHAKARAMU wa maimathe.Unamuita mlupo mama wa b
watoto wa Malisa?
Huwezi jua labda huyo dada aliondoka na majigambo na matusi ya kutosha kwa Malisa, kua hahitaji msaada wowote anajiweza. Yamemshinda huko ndio anapiga mikelele hii.
Hawa wanawake ni mama na dada zetu, lakini akili zao uwaga wanaziacha chooni. Ameona jamaa mambo mazuri yupo zake huku mamtoni ndio anaanza kelele, Malisa shikilia hapo hapo hakuna kutuma wala kutoa msaada wowote hadi aombe pooh.
Mavi ya mama hayaView attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.
Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.
View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0
muulizeni Doreen na mana yake na ndugu zake Doreen baba yao mzazi aitwaye Alex wamempeleka wapi?View attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.
Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.
View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0
Pascal MayallaPascal tusaidie, hivi kwenye taaluma ya habari mwandishi anaweza kutoa habari kama hii bila kuongea na upande wa pili.
Sijaona balance ya story.
Mkuu Rodi,@rodrick alexander, habari hii sio tuu imekosa balance only,but its un ethical kuonyesha picha za watoto minors mtandaoni,zitawafanya watoto kuwa stigmatized na kuwa ridiculed shuleni na lwenye jamii.Pascal tusaidie, hivi kwenye taaluma ya habari mwandishi anaweza kutoa habari kama hii bila kuongea na upande wa pili.
Sijaona balance ya story.