Habar ni nn hapa??View attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.
Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.
View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0
Naona pia Malisa GJ ameamua kuipotezea bila kuizungumzia ili wasimtoe kwenye reli ,safi sana.View attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.
Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.
View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0
Uvumilivu una mipaka yake mkuu, mwanamke akikukashfu hadi kupiliza utu wako nachelea kusema Malisa hajakosea kufunga vioo. Nafikiri wewe bado hujakutana na wanawake wanaotema nyongo hadi mwanaume unaaapa hutotoa hata senti za matunzo kwa hao watoto.Mkuu, mwanaume wa kweli hawezi watesa watoto wake wa kuwazaa ili kumkomoa mama yao. Hiyo haipo. Hapo unaowatesa ni watoto.
Huwezi ua mbu aliyetua kwenye pumbu kwa nyundo utayeumia ni wewe.
Naamini anachafuliwa ila kama his train of thought ni kumuwajibisha mama yao kwa kutohudumia watoto atakua amefeli sanaaaaaa nachelea kusema atakua ni mpumbavu.
Uvumilivu una mipaka yake mkuu, mwanamke akikukashfu hadi kupiliza utu wako nachelea kusema Malisa hajakosea kufunga vioo. Nafikiri wewe bado hujakutana na wanawake wanaotema nyongo hadi mwanaume unaaapa hutotoa hata senti za matunzo kwa hao watoto.
At the end of the day, nia yake si kuwatesa watoto bali kumfunza adabu huyu ngurubange ambae baada ya kuona sasa hivi Malisa ana maokoto anaanza kumdhalilisha kwa social media kua hatoi matunzo kumbe aliondoka kwa kiburi na jeuri na matusi juu, mie naona apambane na hali yake tu kwa sasa. Ukute huyo aliondoka kwa makeke na pengine kashfa kibao kwamba, kwanza watoto si wa Malisa, sasa roho ipi itakayomfanya jamaa atoe matunzo hata ningekua mimi ningeacha huyo Doreen ale na jeuri yake??
Mkuu ni kweli unavyosema, lakini fikiria mwanamke anaondoka kwa matusi na makeke, na anakwambia kwamba "kwanza watoto sio wako na hategemei msaada wowote toka kwako" na kukwambia kabisa kibamia chako hakina uwezo wa kuzalisha" utajisikiaje?? , mie hata kama huruma sijui ya watoto lazima nifanye maamuzi magumu, nakata misaada yote rent na ada. Atakula jeuri yake.Watoto wanakosa ada na rent kwa kisingizio cha kumkomesha mama yao? That's insane to me.
Hakuna tusi utalonitukana niwatelekeze watoto wangu mwenyewe. That will never happen, but to each their own.
Haya maneno umeyatoa wapi? Hata kama nibya kweli utakubalije kuwa watoto si wako bila kupima DNA?Mkuu ni kweli unavyosema, lakini fikiria mwanamke anaondoka kwa matusi na makeke, na anakwambia kwamba "kwanza watoto sio wako na hategemei msaada wowote toka kwako" na kukwambia kabisa kibamia chako hakina uwezo wa kuzalisha" utajisikiaje?? , mie hata kama huruma sijui ya watoto lazima nifanye maamuzi magumu, nakata misaada yote rent na ada. Atakula jeuri yake.
Mkuu ni kweli unavyosema, lakini fikiria mwanamke anaondoka kwa matusi na makeke, na anakwambia kwamba "kwanza watoto sio wako na hategemei msaada wowote toka kwako" na kukwambia kabisa kibamia chako hakina uwezo wa kuzalisha" utajisikiaje?? , mie hata kama huruma sijui ya watoto lazima nifanye maamuzi magumu, nakata misaada yote rent na ada. Atakula jeuri yake.
Lwa Diamond umekosea. Chukua time kusoma mchezo, kuna mengi nyuma ya paziaMkuu, Mimi hata aseme nini kama ni damu yangu sitelekezi abadan. Huo msamiati haupo kwangu.
Kadhalika nasapoti 1000% watoto ambao hawataki kabisa kujihusisha na wazazi wao waliowatelekeza, case in point, Dayamondi. Kama baba uliweza kumtelekeza mtoto ambaye hajajileta na hana uwezo wa kujihudumia kwa namna yeyote ile basi naye hana budi kukukataa wewe mtu mzima mwenye akili timamu na uwezo wa kujtegemea. Sababu ya kwamba "nakutesa na wewe kwa ujeuri wa mama yako" haina mashiko. But that's just me.
Lwa Diamond umekosea. Chukua time kusoma mchezo, kuna mengi nyuma ya pazia
CCM mna akili za kipumbavu mnooView attachment 3626421 Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha fedha za watu waliolemazwa, waliopata ajali, wanaougua magonjwa ya ajabu na hata wanasiasa wa upinzani.
Kweli nimeelewa kwa nini fundi Seremala hana kiti nyumbani kwake. Fungua link hii kwa taarifa zaidi.
View: https://www.instagram.com/reel/Dam-sRJtCDS/?igsh=azgyZzkyeWdyd2E0