Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Na wengine wanasema ni wakoloni, wajarumani, waarabu, sultani waliotufikisha hapaBado hamjachoka tu...zungumzeni hali halisi, msijifiche nyuma ya Magu; miaka 4 hayupo, hakuna mwenye akili tofauti ya kufanya tofauti ila kulaumu tu?
Wengine utasikia, Nyerere ndo katufikisha hapa, kweli? Vizazi vingapi vimepita baada yake na hakuna lililofanyika hata akalaumiwa yeye na sio walioko?
Walitekwa akina Ulimboka, wakapotea akina Ben na sasa wanapotea na kufa akina Kibao n.k; mamlaka inasema ni kawaida ILA bado mna MAGUFULI tu!
Ni critique wa mwendawazimu wa Chato .lini ameanza kuitwa critique wa Samia?
Kwa sababu hawakuwa karibu .Thubutu. Mlawa na mange pamoja na kumtuakan kote uncle Magu alichemsha kuwashika
Panawaka...
.....Edit....
Kwa aina ya activism anazoendesha Maria, global and local politics...
Kenya isn't and wasn't the right choice to be...
Natumai apatikane akiwa hai, lakini aachane na Nairobi kabisa
Nairobi wanatekwa watu wengi sana na haijulikani wimbi hili litaisha lini.
Mengi yatahusisha serikali lakini hatuwezi jua Nairobi kuna hooligans wengi wa kutosha..
Eehh!!And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
Yule Mwingine nae wanadai yuko hapohapo...Yaan Maria sarungi nilijua yupo ulaya ndo maana anafanya harakati hizo bila wasiwasi kumbe yupo hapo Nairobi tu..alikosea sana huwez kufanya harakati kwa hz nchi za kiafrika kenya imekua nchi ya kipumbafu sn juz juz hapa wamemchoma tena Bisigye yule mpinzani mkubwa wa museven
Mwamba kaanza kazi yakeTAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
Grid ya taifa, TAL yeye atakuwa hajaunganishwa huko😳
Hiyo ni lazima!Wasije kumbaka tu Maria wetu
una maana ganiHakuna namna
HawaweziWasenge sijui kama watamfikisha mahakamani.
🤣Baki hivyo hivyo, huyo msimbe enzi zake akiwa kwenye tasnia ya ulimbwende ameshaishi sana promiscuous life
Maria Bonge yupo anafundisha Chekechea somewhereAlafu hii kauli ya kipumbavu ya kusema watajitokeza kina Maria wengine, ni ushenzi. Wazazi wake watampata Maria mwingine. Pumbafff kabisa.
Ameshaulizwa TlaatlaH na washirika wao?Kumekuchaa
🤔🤔
Kuna wahuni wanasema eti watambaka wasenche kabisaThink right. You are more than. They will not harm her in any way for some reasons