Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Na wengine wanasema ni wakoloni, wajarumani, waarabu, sultani waliotufikisha hapaBado hamjachoka tu...zungumzeni hali halisi, msijifiche nyuma ya Magu; miaka 4 hayupo, hakuna mwenye akili tofauti ya kufanya tofauti ila kulaumu tu?
Wengine utasikia, Nyerere ndo katufikisha hapa, kweli? Vizazi vingapi vimepita baada yake na hakuna lililofanyika hata akalaumiwa yeye na sio walioko?
Walitekwa akina Ulimboka, wakapotea akina Ben na sasa wanapotea na kufa akina Kibao n.k; mamlaka inasema ni kawaida ILA bado mna MAGUFULI tu!