Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado hamjachoka tu...zungumzeni hali halisi, msijifiche nyuma ya Magu; miaka 4 hayupo, hakuna mwenye akili tofauti ya kufanya tofauti ila kulaumu tu?

Wengine utasikia, Nyerere ndo katufikisha hapa, kweli? Vizazi vingapi vimepita baada yake na hakuna lililofanyika hata akalaumiwa yeye na sio walioko?

Walitekwa akina Ulimboka, wakapotea akina Ben na sasa wanapotea na kufa akina Kibao n.k; mamlaka inasema ni kawaida ILA bado mna MAGUFULI tu!
Na wengine wanasema ni wakoloni, wajarumani, waarabu, sultani waliotufikisha hapa
 
Panawaka...

.....Edit....

Kwa aina ya activism anazoendesha Maria, global and local politics...
Kenya isn't and wasn't the right choice to be...

Natumai apatikane akiwa hai, lakini aachane na Nairobi kabisa

Nairobi wanatekwa watu wengi sana na haijulikani wimbi hili litaisha lini.

Mengi yatahusisha serikali lakini hatuwezi jua Nairobi kuna hooligans wengi wa kutosha..

Uko sahihi kabisa, huwezi kuikimbia Serikali yeyote ya Africa na kwenda kujificha Nairobi.
Nairobi haiwezi kuwa safe maana gangs lolote linaweza kupewa kazi na kumalizana na wewe.
 
And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
Eehh!!
😷😷😷😷😷
 
Yaan Maria sarungi nilijua yupo ulaya ndo maana anafanya harakati hizo bila wasiwasi kumbe yupo hapo Nairobi tu..alikosea sana huwez kufanya harakati kwa hz nchi za kiafrika kenya imekua nchi ya kipumbafu sn juz juz hapa wamemchoma tena Bisigye yule mpinzani mkubwa wa museven
Yule Mwingine nae wanadai yuko hapohapo...
Nasikitika...
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
Mwamba kaanza kazi yake
 
Awamu ya tano jibu rahisi ilikuwa ni kumlaumu Magu. Sasa hivi je? Tulio naye sasa hivi ni kama mtoto wa Pol Pot na Bibie Kirchner, wazuri usoni lakini rohoni ni wabaya sana.

Huyu dada Mungu amponye amrudishe.

Wanaharakati waache kuipambania Africa,hii sio miaka ya 1950s na 60s ambapo waAfrika walikuwa na azimio moja. sisi ni jamii ya watu wapumbavu wengi kuliko werevu. Huku watu wameridhika na dhiki na ni wabinafsi. Harakati zitaumiza zaidi wanafamilia na hazitafika popote.

Alafu hii kauli ya kipumbavu ya kusema watajitokeza kina Maria wengine, ni ushenzi. Wazazi wake watampata Maria mwingine?. Pumbafff kabisa.
 
Back
Top Bottom