Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maria Sarungi ana msimamo gani, yupo upande wa Mbowe au Lissu na msimamo wake kuhusu uchaguzi wa CHADEMA unaweza kuhusishwa vipi na utekwaji wake kule Nairobi?
 
Duuh Jina la mshua limemlinda nini? Labda jamaa target yao informers ,kweli waanze kukimbia na wao maana hawako salama.
Maria si rahisi kuguswa ni kama Fatma Karume, majina ya wazazi yanawapa kinga...

Shida ni kwa wamatumbi wengine ambao hawana kinga wakiingia kwenye 18 huwa wanaipata vilivyo...

Naona yuko na machozi ya karibu sana ama wanaume wamefanikiwa kufanya yao...
 
Hawa wanaweza wanaweza wakampiga mtungo,wakamrekodi
Wakamwqmbia sasa tunakuachia ila ukirudia tena video zako tutaziachia

Ova
Hiyo hawawezi, huyo si type za kuogopa kusema kuwa amebakwa. Mpaka kufikia alipo she has been through a lot of shit, hiyo kwanza ndiyo itamuweka kwenye global spotlight as mbayo atafanya interviews hadi katika media kubwa duniani.
Hauoni wanawake wajanja wa Kitutsi waliobakwa kwenye genocide walifanya interviews mpaka kwa Oprah Winfrey, hiyo ni sawa na kumpiga chura teke.
 

Kweli maana ukiwapoteza watoto wa wakubwa -baba zao matycoon huwa wanapewa taarifa kwasababu wazazi wao pia ni part ya inner circles so kweupe itajulikana nani aliofanya umafia.

Mmatumbi ukidakwa ndiyo ntoleee ,SATIVA/Magoti inabidi wabaki ubelgiji/UK huko huko.
 
Sasa wee kibaraka wa watekaji mbona unafurahia madhila ya watu wasio na hatia?

Ila inasemekana tayari amepatikana akiwa salama. Kenya siyo Tanzania,..

View: https://x.com/KatibaMpya7/status/1878492666813436406?t=YLjnZejesWxze99GIjrG5g&s=19
 
Kikawaida kwa ulinzi ulivyo TZ ni ngumu mtu kutekwa na kukimbia kwenye gari unless taarifa ichelewe kutoka.

Ukiona mtu ametekwa na watekaji hawajakamtwa means ni WAO WENYEWE.
 
Kama hapa Tanzania tu wanasema hawahusiki, sembuse imetokea Kenya...!?

Kwa heri Maria...!
 
TAL ana english iliyonyooka mno. Anyway, Naombea Maria apatikane akiwa mzima.
 
Correct phrase; watekaji NI hooligans, na hivyo hawawezi KUWA WATU WA system ZA NCHI. WATU WA system hawawezi kumteka mtu kama Abdul Nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…