Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwa page yake!?
Wasije wakawa ni wao ndo wanatweet.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa page yake!?
Mateso ya Mtanzania mwenzio leo yanakuchangamsha?Pashachangamka.
Maria si rahisi kuguswa ni kama Fatma Karume, majina ya wazazi yanawapa kinga...Duuh Jina la mshua limemlinda nini? Labda jamaa target yao informers ,kweli waanze kukimbia na wao maana hawako salama.
Hiyo hawawezi, huyo si type za kuogopa kusema kuwa amebakwa. Mpaka kufikia alipo she has been through a lot of shit, hiyo kwanza ndiyo itamuweka kwenye global spotlight as mbayo atafanya interviews hadi katika media kubwa duniani.Hawa wanaweza wanaweza wakampiga mtungo,wakamrekodi
Wakamwqmbia sasa tunakuachia ila ukirudia tena video zako tutaziachia
Ova
Iko wazi, timu lisuMaria Sarungi ana msimamo gani, yupo upande wa Mbowe au Lissu na msimamo wake kuhusu uchaguzi wa CHADEMA unaweza kuhusishwa vipi na utekwaji wake kule Nairobi?
Maria si rahisi kuguswa ni kama Fatma Karume, majina ya wazazi yanawapa kinga...
Shida ni kwa wamatumbi wengine ambao hawana kinga wakiingia kwenye 18 huwa wanaipata vilivyo...
Naona yuko na machozi ya karibu sana ama wanaume wamefanikiwa kufanya yao...
Sasa wee kibaraka wa watekaji mbona unafurahia madhila ya watu wasio na hatia?So, mim nauliza tu
kwamba mropokaji na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anajaribu kuripoti kwa wanaombackup huko ulaya kwamba, ni magufuli au samai ndie walio mteka huyu muingiliaji na mvurugaji wa famili za watu kwa maslahi yake binafsi kwa mgongo wa kutetea haki za binadamu? au ni kujaribu kutafuta huruma ambazo hazina maana yoyote?![]()
Sasa wee kibaraka wa watekaji mbona unafurahia madhila ya watu wasio na hatia?
Ila inasemekana tayari amepatikana akiwa salama. Kenya siyo Tanzania,..
View: https://x.com/KatibaMpya7/status/1878492666813436406?t=YLjnZejesWxze99GIjrG5g&s=19

Unawaza ngono all the time kama mbwa. Waza kivingine brooDuu wamemtimbia huko huko.
Ndio wakati wa Lisu na Wafuasi wake kukiwasha Sasa kama wanavyosema huko 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEuyddbtuqX/?igsh=MTljcHB6Z241bWJ5Yw==
Labda hivyo inavyotumika ile hela mwenye kigoda aloomba tola kwa ma AbduliAisee sasa Mbowe anaanza kuwasaka wanaomsaport Lisu,
Ni doa kwa Ruto maana
TAL ana english iliyonyooka mno. Anyway, Naombea Maria apatikane akiwa mzima.ANAANDIKA Mh LISSU
Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.
A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.
While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.
And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
Yale siyo mateso ndugu usichanganye mada.Mateso ya Mtanzania mwenzio leo yanakuchangamsha?
But Kaburi linawangoja kama magufuli yuko wapi?Sarung.... Sla... .. TAL... lema.
Muwe mnaelewa Kuna mamlaka.
Kwa hali ilivyo, TAL kesho ataonekana JNIA airport akiondoka,na uchaguzi basi Tena
Correct phrase; watekaji NI hooligans, na hivyo hawawezi KUWA WATU WA system ZA NCHI. WATU WA system hawawezi kumteka mtu kama Abdul NondoPanawaka...
.....Edit....
Kwa aina ya activism anazoendesha Maria, global and local politics...
Kenya isn't and wasn't the right choice to be...
Natumai apatikane akiwa hai, lakini aachane na Nairobi kabisa
Nairobi wanatekwa watu wengi sana na haijulikani wimbi hili litaisha lini.
Mengi yatahusisha serikali lakini hatuwezi jua Nairobi kuna hooligans wengi wa kutosha..
Edit...
Tunajulishwa na Fatma Karume kwamba amepatikana salama na yupo nyumbani kwake...🙏