Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

Huyu dada anaongoza group la ant-Muslim, Tanzania is a secular state, huo ujinga wake wa kuwatukana Waislam angeuacha huko huko Australia, afunzwe adabu kidogo siku nyingine wajinga wa aina yake hawataisogolea Tanzania.
 
Huyu dada anaongoza group la ant-Muslim, Tz is a secular state, huo ujinga wake wa kuwatukana Waislam angeuacha huko huko Australia, afunzwe adabu kidogo siku nyingine wajinga wa aina yake hawataisogolea Tz.
Kwani wapi katukana waislamu/uislamu?
Hivi uwezo wa KUCHANGANUA maswala/mambo hapa TZ umetorokea wapi?
Kupoteza uwezo wa kuchambua na kuchanganua maswala ni ugonjwa mbaya zaidi ya hata corona.
 
Huyu dada anaongoza group la ant-Muslim, Tanzania is a secular state, huo ujinga wake wa kuwatukana Waislam angeuacha huko huko Australia, afunzwe adabu kidogo siku nyingine wajinga wa aina yake hawataisogolea Tanzania.
Nashindwa kuelewa kama hiyo Faithless Hijabi aliianzisha Tanzania au huko kwao Australia. Matatizo yanayopiganiwa na asasi yake kama yapo Tanzania, ni to the minimum. As a former Shia believer, angeelekeza harakati zake Iran angeeleweka zaidi.

Aachiwe na kupigwa PI asikanyage Tanzania tena.
 
You mean rationale? don't write 'rationality' of a decision ..........
Dictator! yupi? Your personal problem should not be extended to a national level. Who is this lady you are using as a yardstick for leadership quality? We can't be dragged into one's personal problems with no knowledge of how useful is she!
 
Huyu dada anaongoza group la ant-Muslim, Tanzania is a secular state, huo ujinga wake wa kuwatukana Waislam angeuacha huko huko Australia, afunzwe adabu kidogo siku nyingine wajinga wa aina yake hawataisogolea Tanzania.
Kuna watu hapa JF wana shida binafsi za maisha sasa wako tayari kusaidiwa matatizo yao hata na mtu bwege tu! Wanamtetea dada huyu bila hata kujua ubora wa akili yake.
 
the final issue was the use of a mobile sim card registered in a family member’s name rather than her own name, under legislation that the group said “has been used to persecute other high-profile cases”.
Haya tena suala hili la mobile sim card ni mtihani mwingine kwa waTanzania.


Will mandatory SIM card registration rid Tanzania of cybercrime? - ENACT Africa

24 Jun 2020 — Tanzania has introduced mandatory SIM card registration to combat cybercrime ... Tanzania's Electronic and Postal Communications Act 2010

Sheria mpya ya Mawasiliano ya kielektroniki na Posta (Electronic and Postal Communications) ya Mwaka 2009.

Electronic and Postal Communication Act 2009 kwa lugha ya kigeni. Sheria hii imetungwa kwa lengo la kuhakiksisha sheria inatambua maendeleo mapya yaliyopo na yanayoendelea kujitokeza katika sekta ya mawasiliano ya kieletroniki.

Kwa kutambua hivyo sheria Ya Mawasiliano ya mwaka 1993 imefutwa na sheria hii mpya ya mwaka 2009.

Sheria mpya inatoa mamlaka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania au kwa lugha ya kigeni Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) kuhusu masuala mbalimbali ya mawasiliano ikiwa pamoja na kutoa leseni na kutunga sheria ndogo ndogo (regulations) mbali mbali katika sekta ya mawasiliano.

Ingawaje sheria hii mpya ainisha makosa mbali mbali ya kisheria katika sekta ya mawasiliano, lakini makosa hayajawekwa kwa mapana zaidi na hakuna muunganiko wa wazi kati ya sheria hii mpya na sheria ya Makosa ya Jinai (Penal Code Cap 16). Kwa mantiki hiyo basi makosa ya jinai yanayohusu mawasiliano ya kielektroniki (Cyber crimes) hayajapambanuliwa kwa uwazi na hayajaainishwa kwa mapana zaidi.

Sheria hii mpya imeainisha mambo kadhaa ya kisheria ambayo katika hali ya kawaida raia wema wengi wa Tanzania wanaotumia simu za viganjani/mkononi hatuyajui. Lakini ukweli wa mambo ndio huo.

Sheria mpya ya Mawasiliano ya kielektroniki na Posta (Electronic and Postal Communications) ya Mwaka 2009. Sheria Na. 4 ya mwaka 2009. Sheria hii ina mambo kadhaa yanayoweza kudhaniwa ni utani au dhihaka lakini ni mambo ya kuzangatia. Ni budi kuzingatiwa maana sheria hiyo tayari imeshaanza kufanya kazi.

Sasa soma yafuatayo:

  1. Ni kosa kisheria kuuza SIM card bila kupata ruhusa ya kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano mfano Vodacom, Zain au Tigo, na n.k. Kwa maelezo zaidi angalia kifungu namba 127 cha Sheria hiyo
  2. Ni kosa kisheria kumiliki simu ya mkononi /SIM card bila kithibitisho. Kifungu cha 128
  3. Ni kosa kisheria kumiliki simu ya mkononi/SIM card ambayo unashindwa kuthibitisha uhalali wa jinsi ulivyoipata au bila kuwa na uhakika au imani ya kuaminika kuwa umeipata kiuhalali . Kifungu cha 129
  4. Ni kosa kisheria kushindwa kuripoti upotevu au kuibwa/kuibiwa simu au SIM card. Kifungu cha 130.
  5. Ni kosa kisheria kuharibu/kurekebisha uhalisia wa simu ya mkononi/SIM card. Kifungu cha 131
  6. Ni kosa kisheria kutumia simu ya mkononi/SIM card isiyosajiliwa. Kifungu cha 133
Haya na mengineyo mengi yanapatikana katika sheria tajwa hapo juu.

Source : Tanzania Electronic and Postal Communication Act 2009
 
Kama mtu anaona habari si muhimu, kuna uhuru wa kuiruka asiisome.

Haya mengine ya kupangiana nini inafaa kwa national debate na nini haifai ni ujinga.

Kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kikatiba wa kuchagua habari gani ni muhimu kwake.

Sasa hapo utaanza vipi kumpangia mtu habari gani ni muhimu?
 
issafrica.org › iss-today › more-ques...
More questions than answers: Tanzania's mandatory SIM card registration - ISS ...

1 Jul 2020 — Tanzania's Electronic and Postal Communications Act 2010 criminalises the use, sale and distribution of unregistered SIM cards....

The authorities say biometric data collected in the registration process will allow police to track offenders and deter crime. ‘This kind of registration is important for national security and will help to address fraud incidents involving mobile phones,’ President John Magufuli said in December 2019.

This is the script many countries use when enforcing SIM card registration. They say it will counter cybercrime, instil trust and transparency in the financial and e-commerce services sector, and enhance national security and due diligence by cellphone providers.

In Tanzania, stolen or forged registration documents are used to commit fraud via cellphones. Mobile phones are also used in crimes such as robbery and abduction. There are also concerns about whether unregistered cellphones are behind civil offences, and what the Tanzanian government calls ‘offences against the republic.’

Defamatory messages could indeed be traced to particular cellphones. But offences such as treason, inciting and aiding acts of mutiny, warlike activities, inducing desertion and helping prisoners of war escape, would require more than just an unregistered mobile phone.
 
Anashikiliwa na police kwa kukosoa jinsi Rais anavyoshughulikia Corona? Mbona wengi wamekosoa lakini hawakukamatwa?
 
Siku akipelekwa mahakamani ndipo tunakutana na uhujumu uchumi, kushirikiana na magenge ya kihalifu na utakatishaji fedha! Kama ana tufedha benki tunataifishia mbali!
 
Vyombo vya usalama Tanzania vinafanya kazi kipumbavu sana. Ndio madhara ya kuajiri UVCCM.
KURA MMESHAIBA HATA MKIKOSOLEWA NYIE ENDELEENI KULA KUKU KWA MRIJA.
Vya nchi gani vinavyotumia ujanja boss? US? UK? Kenya? Au wapi huko ambako sisi hatuwahi kufika? Nenda ukakabwe shingo hadi roho itoke, ndugu zako wabaki wanalilia Afrika yetu.
 
Pasipoti mbili kupitia uraia pacha kwa diaspora ya Tanzania bado ni issue kubwa, unaweza kuingia matatani Tanzania.
Tajijua na ujuaji wake bado Lissu
 
Anashikiliwa na police kwa kukosoa jinsi Raisi anavyoshughulikia Corona? Mbona wengi wamekosoa lakini hawakukamatwa?
Kuna watu bado wako kwenye kampeni wakati hatuna tena uchaguzi hivi karibuni. Hawana hata muda wa kujiuliza na akili gani huyo anayekamatwa. Eti anaitwa mwanaharakati! Harakati gani, kwani ana akili kuliko wa-TZ wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…