beberu_mzalendo
Senior Member
- Dec 11, 2020
- 129
- 103
Acheni sheria ifuate mkondo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama huyo hapo uliyemjibu sio kukosa uwezo wa kuchanganua tu, ila anaona ataonekana vizuri kwa kupindishi habari kivyake.Kwani wapi katukana waislamu/uislamu?
Hivi uwezo wa KUCHANGANUA maswala/mambo hapa TZ umetorokea wapi?
Kupoteza uwezo wa kuchambua na kuchanganua maswala ni ugonjwa mbaya zaidi ya hata corona.
Aondoke sijui nani kamtuma. Baada ya kuona wanashindwa kupata vibaraka wakuwatumikisha wanakuja wenyewe.Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii.
Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika jiji la Dar es Salaam mnamo Desemba 28 kabla ya kuzuiliwa kwa saa 32.
======
An Australian woman has been arrested and charged in Tanzania shortly after criticising the Tanzanian President's handling of the COVID-19 pandemic in a satirical social media post.
Zara Kay, an Australian citizen who was born in Tanzania, was told to attend a police station in the city of Dar es Salaam on December 28 before being detained for 32 hours.
Australian citizen Zara Kay runs the women's rights group Faithless Hijabi SUPPLIED
Authorities confiscated the Monash University-educated activist's Australian passport before bailing her on December 29.
In a tweet posted on her account on January 1, Ms Kay said: "I'm out on bail, thank you all for the support. I'm still quite traumatised from everything. Please don't stop fighting for me. They can try shaking me, but they won't break me".
The arrest, first reported by the ABC, has sparked renewed concern about Tanzania's crackdowns on activists critical of the government.
View attachment 1666595View attachment 1666596
Tajijua na ujuaji wake bado lisu
Lissu alikuwepo muda wlote wa kampeni mbona hamkumkamata kama IGP alivyoahidi?
Unamkmata shoga wa kazi gani
Wanaharakati wa kupost twitter,
Siku zinakwenda mbio sana,
Sasa kama kupost twitter nako nikuwa mwanaharakati kina Che guevara na Fidel sijui tuwaite kina nani??
Uko sawa kabisa kama hawazuii wizi wao wa kura au ufisadi au uuaji wao, ni kuachana nao tu, sisi tuendelee wizi wetu, ufisadi wetu na kuua wtz wenzetu as long hakuna wa kututoa madarakani.sioni sababu za serikali kuendelea kukimbizana na hawa wana harakati maana hawana effect yeyote waachwe waseme ,,, nikupoteza muda sana kushughulika na watu ambao wanasema tuuu,,,,,,,, waachwe waseme kama kuna hoja au upotoshwaji ujibiwe
jiulize ilikuwepo hii platform mbogamboga acheni kukalili maishaWanaharakati wa kupost twitter,
Siku zinakwenda mbio sana,
Sasa kama kupost twitter nako nikuwa mwanaharakati kina Che guevara na Fidel sijui tuwaite kina nani??