Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

www.taipeitimes.com › 2021/01/04
Tanzania charges women's rights activist - Taipei Times

11 hours ago — AUSTRALIAN CITIZEN: Supporters said that charges against Tanzanian-born Zara Kay, who had her passport confiscated after being detained

The International Coalition of Ex-Muslims said Kay was also accused of not returning her Tanzanian passport after gaining Australian citizenship, but added that “she never returned her Tanzanian passport as she misplaced and never used it after gaining Australian citizenship.”
 
Kwa ufupi tu wamesaidia kusambaza alichokiandika.
 
Hiyo campaign ya X-Muslim ndio HOJA ya msingi. Hizo tweeter na ukosoaji ni vionjo tu. Hii nchi inatafutwa na mabeberu kwa kila hali. Waliberali wa UFIPA huwa mnakariri tu. Mwacheni ashughulikiwe mpaka genye ziishe ndio aende. Nyambaff snitch shombe wa kiaustralia
 
Hivi uki post twitter tu ushakuwa ni political or social activist siku hz?
 
Kukana dini hadharani au kusimanga dini ni kosa Tanzania.

Kuwa na passport mbili ni kosa Tanzania, hakuna kitu kama "Tanzanian Australian."

Kutumia sim card yenye jina la mtu mwingine ni kosa Tanzania.

Awajibishwe kisheria kisha arudishwe Australia na apewe 10-year exclusion kukanyaga nchini.
 
Hiii issue utatu cost sana.

Meko anajifanya kidume sana ila mambo mengine anayoyafanya kama haya ni ya kindezi
 
Vyombo vya usalama Tanzania vinafanya kazi kipumbavu sana. Ndio madhara ya kuajiri UVCCM.
KURA MMESHAIBA HATA MKIKOSOLEWA NYIE ENDELEENI KULA KUKU KWA MRIJA.
Wewe vyombo vyako vya usalama vinafanya kazi kwa akili?

Ukileta uchochezi unashughulikiwa ipasavyo,ebu wewe nenda Australia ukosoe wanavyoshughulikia covid 19 kama utakuwa salama.

Roho ya chuki haikujengi bali itakunyongonyeza kiakili na kimwili
 
Ni upumbavu kusema namna mbaya ya kushughulikia janga la COVID-19 ilihali hata yeye hajaona watu waliokufa na huo ugonjwa,sasa wale walioshughulikia vyema na wau wao wamekufa kwa wingi,na sisi ambao Rais wetu kashughulikia vibaya kama asemavyo hatujakufa,ni nani aliye sawa?

Huyo dada ameingizwa mkenge na watu
 
Vyombo vya usalama Tanzania vinafanya kazi kipumbavu sana. Ndio madhara ya kuajiri UVCCM.
KURA MMESHAIBA HATA MKIKOSOLEWA NYIE ENDELEENI KULA KUKU KWA MRIJA.
We kama huna uzalendo na nchi kila neno kweni ni jema hamia Rwanda au popote unapoona panakufaa
 
Huyo ni half-caste wa kizungu kwahiyo sio mbaya maana na damu ya kizungu
Si mzungu, ni muhindi...msinashir. wazee wake masinashir. Nadhani ni katika madhehebu ya Shia. Sheria ni bora ifuatwe lakini kiukweli huyu ni afiriti. Yaani bora angetoka kwenye dini mwenyewe halafu akakaa kimya, ila sasa tatizo linakuja pale anapotumia uhuru wake na pumzi alizopewa kuunda kikundi cha kuitukana na kuikashifu dini. Kisa yuko uzunguni! Mbali ya kuitukana dini anatetea mashoga wa aina yote! Yaani kaamua kukufuru na kukashifu na kuunda gurupu ya watu wakufuru na yeye! Serikali ya Tanzania imuache tu na kufuru zake kwa kuwa haina hukumu itakayomtosha huyu. Huyu hukumu yake atapewa na aliemuumba. Soon inshaAllah.
Namuomba Allah amhukumu kabla hajazidi kupoteza waja wake zaidi!
 
sioni sababu za serikali kuendelea kukimbizana na hawa wana harakati maana hawana effect yeyote waachwe waseme ,,, nikupoteza muda sana kushughulika na watu ambao wanasema tuuu,,,,,,,, waachwe waseme kama kuna hoja au upotoshwaji ujibiwe
Yaani leo umeongea la maana kabisa
 
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania kuwa na uraia Pacha ni jinai
Atakachokumbana nacho ni kuingia nchini kinyume cha Sheria,hukumu ni kupokwa pasi ya Tanzania,kupigwa fine au kifungo miezi sita,au vyote Kwa pamoja
**Ukiwa unashambulia Sana,usisahu kulinda lango,utapigwa tu counter attack!
 
We kama huna uzalendo na nchi kila neno kweni ni jema hamia Rwanda au popote unapoona panakufaa
utahama wewe sio mimi. Hatukimbii waovu, wao ndio watakimbia hadi vivuli vyao.
Hadi Kinana watamuona adui
 
Wewe vyombo vyako vya usalama vinafanya kazi kwa akili?

Ukileta uchochezi unashughulikiwa ipasavyo,ebu wewe nenda Australia ukosoe wanavyoshughulikia covid 19 kama utakuwa salama.

Roho ya chuki haikujengi bali itakunyongonyeza kiakili na kimwili
Endeleeni kuteka, kutesa na kuua. Huo ndio uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…