cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Wamemuua nani bwana acha habari za kulishwa mambo.Endeleeni kuteka, kutesa na kuua. Huo ndio uzalendo.
Hujijui uko upande gani mzee unafuta upepo tu kupinga kila kituKiongozi wako mwenyewe bepari
Kwani kashikwa kwa sababu za kihuamiaji au harakati?sioni sababu za serikali kuendelea kukimbizana na hawa wana harakati maana hawana effect yeyote waachwe waseme ,,, nikupoteza muda sana kushughulika na watu ambao wanasema tuuu,,,,,,,, waachwe waseme kama kuna hoja au upotoshwaji ujibiwe
Tanzania haina uraia pacha. Ukisha kuwa raia wa nchi nyingine wewe sio mtanzania tena hata Kama umezaliwa hapa.View attachment 1667066
View attachment 1667067
Huyo dada wazazi wake wanaishi Tanzania, ndugu zake wanaishi Tanzania, kazaliwa Tanzania na yeye ni mtanzania (mwenye asili ya Malaysia), huo uraia mwingine ni waki-diaspora tu.
Hila anaonekana mtambo kweli kweli mtu anatembelea wazazi wake bila ya kujali covid anajichanganya mitaani bila ya kujali covid tena juzi tu mwezi wa 11.
Halafu wakienda Twitter wanaanza andika wazimu wao kama ilivyo kwa wanaharakati wote wakitanzania, awaishi maisha yao ya kila siku kwa kanuni wanazaoandika Twitter; wengi wazimu tu ila wa huyu dada kama vile umezidi.
There's no such a thing as Australian-Tanzanian. Ukishakana uraia wa TZ wewe sio mtanzania tena hata Kama umezaliwa TZ.23 Sept 2018
A conversation with a Tanzanian Australian ex Muslim, Zara Kay
Join me in a conversation with a Tanzanian- Australian Ex-Muslim Zara Kay in her journey from Islam to reason.
Source : Harris Sultan
Swali ni kuwa, kwanini mtu akihoji utendaji au hatua kiongozi sana. Ama zake !!Hujijui uko upande gani mzee unafuta upepo tu kupinga kila kitu
Maskini ni wewe unayelipwa elfu 7 kwa siku ili umsifie bwana wako/malaika kutoka Chato mitandaoni.Wamemuua nani bwana acha habari za kulishwa mambo.
Toa ushahidi hadhari unaoishawishi jamii kuwa watu wametekwa,wameuawa,wameteswa,n.k uone kama jamii haitasimama.
Tatizo lenu mmekaririshwa na mnaowaita makamanda wenu waliojipa ajira kupitia nyie wapiga debe wao.
Changanya na za kwako mzee maisha ndiyo hayahaya hata ulaya nyie mpo na ndiyo mlio masikini wa kutupa kwa sababu hamna kazi ya kufanya bali kukosoa tu kila kukicha.
Inaonekana ndo unasoma habari yake hapa, mfutilie zaidi utajua mengi kuhusu huyo dadaKwani wapi katukana waislamu/uislamu?
Hivi uwezo wa KUCHANGANUA maswala/mambo hapa TZ umetorokea wapi?
Kupoteza uwezo wa kuchambua na kuchanganua maswala ni ugonjwa mbaya zaidi ya hata corona.
We unadhani watu bado wanaishi kwa propaganda kama wewe.Maskini ni wewe unayelipwa elfu 7 kwa siku ili umsifie bwana wako/malaika kutoka Chato mitandaoni.
Mke na watoto wako wanategemea utoe sifa za uongo mitandaoni ili waende chooni.
So sad!
Familia yangu haiishi kwa kutegemea siasa na propaganda za kizushi kama yakoWe unadhani watu bado wanaishi kwa propaganda kama wewe.
Mimi na wewe nani anaishi kwa kusifia ujinga kwenye mitandao?
She is a a Christian convert former/ex Muslim. Alimkana mudi na kumkubali Yesu. Yesu atampigania tuIs this an issue for a national debate? Who is this? Suppose she is like any other with a feeble mind!
Acha ubaguzi na lugha za kashfaVyombo vya usalama Tanzania vinafanya kazi kipumbavu sana. Ndio madhara ya kuajiri UVCCM.
KURA MMESHAIBA HATA MKIKOSOLEWA NYIE ENDELEENI KULA KUKU KWA MRIJA.
Tanzania ni nchi ya kisekula / secular haina dini na raia wake wapo huru kuchagua au kubadili imani wakati wowote iwe dini za kuja au mahoka wa mababu zetu. Tuheshimu huru huu.Kukana dini hadharani au kusimanga dini ni kosa Tanzania.
Huu ni uchochezi, huyu siyo Australian, ni Tanzanian====
An Australian woman has been arrested and charged in Tanzania shortly after criticising the Tanzanian President's handling of the COVID-19 pandemic in a satirical social media post