Kwan wameeleza kakamatwa kwa kosa gani?ukiikosoa serikali hakikisha unakuwa uko perfect kwa kila kitu, tofauti na hapo utakuwa unajichimbia kaburi wewe mwenyewe.
wanatafita kwenye udhaifu ili wakuumize
sijuiKwan wameeleza kakamatwa kwa kosa gani?
Tatizo linaanzia hapa sasasijui
poaTatizo linaanzia hapa sasa
Sawa mkuu
Hakutoa taarifa popote kapoteza passport ya Tanzania. Tunachojua anajua ilipo, jukumu la kuthibitisha vinginevyo liko upande wake.Huyu ni raia wa Australia. Hakuna sharti ya kutoa taarifa kwa polisi ukipoteza pasipoti ya nchi uliyoacha.
Sijaona dalili kwamba aliingia TZ kama raia wa TZ. Alifika kama raia wa Australia aliyeomba visa.
Nisipokosei hakuna sheria inayodai unahitaji kuomba kibali ukitaka kuacha uraia wa TZ. Ninavyojua mara umepata uraia wa nchi nyingine uraia wa TZ unakwisha.
Kama angetumia pasport ya TZ baada ya kuwa mwaustralia angedanganya. Sijaona habari hiyo.
Maliza kunya kwanza wewee uje vizuri.Umerudishiwa kichwa chako? Unaambiwa ni atheist, wewe unasema ni mkristu! tatizo la kushinda JF na elimu isiyoongezeka.
ujasiri wa kusema Allah (Mungu wa waislamu) kuwa ni shoga?View attachment 1668198Ninacho mpendea Zara ni ujasiri wake
Unampenda kwa sababu ya kutukana na kumkashifu mungu?View attachment 1668198Ninacho mpendea Zara ni ujasiri wake
Atoe umalaya wake wa kisiasa huko sisi hatuhitaji mkimbizi kutufundisha chochote.Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii.
Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika jiji la Dar es Salaam mnamo Desemba 28 kabla ya kuzuiliwa kwa saa 32.
Polisi Nchini Tanzania wamesema mwanaharakati huyo anakabiliwa na mashtaka ya uhamiaji ya kuwa na uraia pacha na jarada la kesi yake limeshaandaliwa
======
An Australian woman has been arrested and charged in Tanzania shortly after criticising the Tanzanian President's handling of the COVID-19 pandemic in a satirical social media post.
Zara Kay, an Australian citizen who was born in Tanzania, was told to attend a police station in the city of Dar es Salaam on December 28 before being detained for 32 hours.
Australian citizen Zara Kay runs the women's rights group Faithless Hijabi SUPPLIED
Authorities confiscated the Monash University-educated activist's Australian passport before bailing her on December 29.
In a tweet posted on her account on January 1, Ms Kay said: "I'm out on bail, thank you all for the support. I'm still quite traumatised from everything. Please don't stop fighting for me. They can try shaking me, but they won't break me".
The arrest, first reported by the ABC, has sparked renewed concern about Tanzania's crackdowns on activists critical of the government.
View attachment 1666595View attachment 1666596
Hiyo ni mawazo yako, mimi nimesema she is brave. unaweza fatilia page yake insta ukajifunza mawili matatu.Unampenda kwa sababu ya kutukana na kumkashifu mungu?