Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

ukiikosoa serikali hakikisha unakuwa uko perfect kwa kila kitu, tofauti na hapo utakuwa unajichimbia kaburi wewe mwenyewe.

wanatafita kwenye udhaifu ili wakuumize
 
ukiikosoa serikali hakikisha unakuwa uko perfect kwa kila kitu, tofauti na hapo utakuwa unajichimbia kaburi wewe mwenyewe.

wanatafita kwenye udhaifu ili wakuumize
Kwan wameeleza kakamatwa kwa kosa gani?
 
Huyu ni raia wa Australia. Hakuna sharti ya kutoa taarifa kwa polisi ukipoteza pasipoti ya nchi uliyoacha.
Sijaona dalili kwamba aliingia TZ kama raia wa TZ. Alifika kama raia wa Australia aliyeomba visa.
Nisipokosei hakuna sheria inayodai unahitaji kuomba kibali ukitaka kuacha uraia wa TZ. Ninavyojua mara umepata uraia wa nchi nyingine uraia wa TZ unakwisha.
Kama angetumia pasport ya TZ baada ya kuwa mwaustralia angedanganya. Sijaona habari hiyo.
Hakutoa taarifa popote kapoteza passport ya Tanzania. Tunachojua anajua ilipo, jukumu la kuthibitisha vinginevyo liko upande wake.

Revoke her visa.
Deport her forthwith.
Prohibit re-entry for 10 years.

If not rehabilitated then, declare permanent persona non grata.
 
IMG_1072.jpg
Ninacho mpendea Zara ni ujasiri wake
 
04 January 2021

Inspekta Generali wa Polisi asema suala la Zara Kay lipo Idara ya Uhamiaj
i



Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro akijibu maswali, athibitisha kuwa mwanaharakati maarufu Zara Kay suala lake halipo mikononi mwa polisi, bali linashughulikiwa na Idara ya Uhamiaji.

IGP Simon Sirro asema Zara Kay aliitwa Polisi kuhojiwa lakini suala lake likaonekana ni la Uhamiaji zaidi, hivyo kwa sasa Idara ya Uhamiaji yaani Immigration inashughulikia jambo hilo.
 
Mambo mengine yanatutia aibu tu kama nchi!
 
Halafu utasikia aah, Kiranga rudi Tanzania ujenge nchi.

Kwa ujinga huu?
 
Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii.

Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika jiji la Dar es Salaam mnamo Desemba 28 kabla ya kuzuiliwa kwa saa 32.

Polisi Nchini Tanzania wamesema mwanaharakati huyo anakabiliwa na mashtaka ya uhamiaji ya kuwa na uraia pacha na jarada la kesi yake limeshaandaliwa

======
An Australian woman has been arrested and charged in Tanzania shortly after criticising the Tanzanian President's handling of the COVID-19 pandemic in a satirical social media post.

Zara Kay, an Australian citizen who was born in Tanzania, was told to attend a police station in the city of Dar es Salaam on December 28 before being detained for 32 hours.

Australian citizen Zara Kay runs the women's rights group Faithless Hijabi SUPPLIED
Authorities confiscated the Monash University-educated activist's Australian passport before bailing her on December 29.

In a tweet posted on her account on January 1, Ms Kay said: "I'm out on bail, thank you all for the support. I'm still quite traumatised from everything. Please don't stop fighting for me. They can try shaking me, but they won't break me".

The arrest, first reported by the ABC, has sparked renewed concern about Tanzania's crackdowns on activists critical of the government.
View attachment 1666595View attachment 1666596
Atoe umalaya wake wa kisiasa huko sisi hatuhitaji mkimbizi kutufundisha chochote.
 
Unampenda kwa sababu ya kutukana na kumkashifu mungu?
Hiyo ni mawazo yako, mimi nimesema she is brave. unaweza fatilia page yake insta ukajifunza mawili matatu.
 

Attachments

  • IMG_1070.jpg
    IMG_1070.jpg
    49 KB · Views: 1
Back
Top Bottom